Gojaga Nize
JF-Expert Member
- Jul 1, 2015
- 3,177
- 2,538
Duuuum
monicca
Duuuum
monicca
Ooh kumbe sikumalizia sentensi yanguUzembe wa mwanamke umemleteaje ukimwi baba au kijana wake? Halafu hakuna aliyefikiria huenda kijana ndio kamuambukiza msichana wa kazi halafu akamwambukiza baba yake?
Bado haihusiani mpendwa. Ngono na tamaa ya ngono ndio iliyosababisha HIV ktk familia. Majukumu ya ndani ni responsibility ya wote, uvivu wa mke ni weakness lakini si chanzo cha HIV ndani ya familia. Kuna wangapi wanatembea na mabinti wa kazi bila kisingizio cha kuachiwa kazi. Kuna 2 issues very unrelating. Kwangu nimepata binti mpya sharp na mrembo. Mtoto wa ndugu yangu akaanza kuonyesha ukaribu. Bibi yake akamkalisha chini na kumwambia binti anaongea na simu hadi saa 8 usiku. So kama ana akili kijana atasikia, asiposikia hana wa kumlaumu kwa chochote. Mke kosa lake ni uvivu tu.Ooh kumbe sikumalizia sentensi yangu
Namaanisha uzembe wa kutofanya majukumu yetu na kubaki kuagiza kama muhindi mfano wa huyo mama.
Swala la HIV hapo ni kitendawili kujua aliemuambukiza mwingine
Na kwa baba na mtoto mwenye maadili wasingemparamia huyo bintiKwa binti mwenye maadili angemwambia mama mimi nimeshindwa kufanya kazi hapa, baba na kaka wananisumbua.
Nakubaliana nawe my dear, tatizo jingine kwa hawa wenzetu wanaendekeza vichwa vyao vya chini zaidi. Na matokeo yake ndio kama hayo,starehe ya dk5 inakuharibia ramaniBado haihusiani mpendwa. Ngono na tamaa ya ngono ndio iliyosababisha HIV ktk familia. Majukumu ya ndani ni responsibility ya wote, uvivu wa mke ni weakness lakini si chanzo cha HIV ndani ya familia. Kuna wangapi wanatembea na mabinti wa kazi bila kisingizio cha kuachiwa kazi. Kuna 2 issues very unrelating. Kwangu nimepata binti mpya sharp na mrembo. Mtoto wa ndugu yangu akaanza kuonyesha ukaribu. Bibi yake akamkalisha chini na kumwambia binti anaongea na simu hadi saa 8 usiku. So kama ana akili kijana atasikia, asiposikia hana wa kumlaumu kwa chochote. Mke kosa lake ni uvivu tu.