Kheri mchawi kuliko huyu dada.

Kheri mchawi kuliko huyu dada.

Kwa binti mwenye maadili angemwambia mama mimi nimeshindwa kufanya kazi hapa, baba na kaka wananisumbua.
Wewe mwenyewe umesema mama alikuwa wakufoka unadhani alikuwa ana ujasiri wa hata kuongea naye kwahiyo asilaumiwe yeye binti lawama zimuendee mwenyew angejiweka karibu na binti yasingetokea hayo
 
Wewe mwenyewe umesema mama alikuwa wakufoka unadhani alikuwa ana ujasiri wa hata kuongea naye kwahiyo asilaumiwe yeye binti lawama zimuendee mwenyew angejiweka karibu na binti yasingetokea hayo
Pamoja na yote yaliyomtokea yalikuwa makubwa.
 
nilidhani kawauwa kumbe kawapa tuu!
 
Hahahah mi nafurahiaga tu style ya story zako,nakumbuka Ile alichokifanya ngozi lol
 
Kwan huyo mama huko kwenye kazi na mishe zake nani anamsaidia?? Sio mda wote hse gals wanateswa...nyumba haina mtt mdogo na km binti yake amefika umri wa kuweza kupika shida iko wp? Na km mama anaingia jikon mda fulan shida iko wp? Hiz hadith za kuteswa ma hse gals ambao mchana kutwa wanashinda kwenye TV sizipendi kbsa...mnataka wakauze bar ili washikwe matako??aaaghh!!!
 
Umeanza tena story zako za maigizo,
Kuna ipindi hapa katikati uliacha sasa umerudi tena kwa kasi

Mpelekee shigongo plz, inakera sana kusoma story afu 100% ni ya kutunga mtu anajidai ya kweli
 
mi naona poa tu alichofanya walitafuta dada wa kazi au mke? baba si ana mke alimuomba wa nini? walijua wananyanyasa housegirl eeehh namponheza huyo bint.
 
Matatizo mengine wakina mama wanayatafuta wenyewe ni kweli kabisa.
Sio kina baba? Maana waliopata TATIZO ni baba na kijana wake. Kwani kumsaidia kupika ilimaanisha wajiambukizishe ukimwi. Fuateni ahadi za ndoa....ooh kuwa mswalihina ni ushamba....mara ooh mwanaume ni polygamist in nature.
 
Wanawake tuache uzembe usio wa lazima
Uzembe wa mwanamke umemleteaje ukimwi baba au kijana wake? Halafu hakuna aliyefikiria huenda kijana ndio kamuambukiza msichana wa kazi halafu akamwambukiza baba yake?
 
Back
Top Bottom