My Son drink water
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 4,930
- 13,335
Heri ya mwaka mpya mwalimu wangu wa Volleyball...Huyu alisema m"anayedai Magufuli hajafanya kazi asubiri ashufughulikie wake zao, wapate mimba "
sina hamu naye
Tumeshakuwa sugu wa kutekwa,kufungwa,kupigwa,kubambikwa kesi na kuuawa,hayo ndo maisha yetu wapinzani wa Tanzania.
Kheri James wakati Magufuli akiwa hai ulisimama hadharani kwa ujasiri mkubwa ukasema huku Taifa na Dunia wakishuhudia,ulisema kwamba,sasa hivi Tundu Lissu mtamchoma sindano ya sumu ndo kilichobakia.
Baada ya MUNGU kumchukua Magufuli , hofu imekujaa,unajiona wazi huna kinga hasa baada ya Mama yetu kugoma kukujibu sms mbili ulizomwandikia kumpongeza baada ya kuapishwa.
Mama anakujua nje ndani,hakupenda kabisa Tabia zenu za kikatili vijana wa UVCCM jinsi mlivyokuwa mnawa treat wapinzani kama wanyama.
Tuliwaonya sana kuwa kuna kesho lakini hamkusikia,Eti leo unataka maridhiano,na nani?
Endelea ulipoishia na wenzako,sisi mtuache na maisha yetu.
Ninakumbuka hii kauli,Huyu alisema m"anayedai Magufuli hajafanya kazi asubiri ashufughulikie wake zao, wapate mimba "
sina hamu naye
Ni Mungu alituamulia maana kwa sanduku la kura aligoma kutoka.Yaliyotokea tanzania tarehe 17.3.2021 ni historia. Sasa kila mtanzania ajifinzie hapo.
Ongeza sauti kidogoNi Mungu alituamulia maana kwa sanduku la kura aligoma kutoka.
Pamoja na huyo profesa mimachoo aliyeko kwenye profile yako 😃Yaliyotokea tanzania tarehe 17.3.2021 ni historia. Sasa kila mtanzania ajifinzie hapo.
Anatakiwa afungwe huyo mpuuzi haraka sanaTumeshakuwa sugu wa kutekwa,kufungwa,kupigwa,kubambikwa kesi na kuuawa,hayo ndo maisha yetu wapinzani wa Tanzania.