KHEE

Hatari kweli mapenzi kiboko. Ni kugegedana tuu
Asilimia kubwa ya mapenzi kwa sasa yametawaliwa na pesa haijulikani nani anapendwa nani anapenda mambo yamekua shaghala baghala.
 
Hizi mada humu huwa zinawaumiza Sana singo maza wote humu ndani Waoneeni huruma nao waone kuzaa sio mkosi Wakuu!!
 
Halafu unakuta humu wengi wamelelewa na mama zao hata baba zao hawawajui.
Hizi mada humu huwa zinawaumiza Sana singo maza wote humu ndani Waoneeni huruma nao waone kuzaa sio mkosi Wakuu!!
 
Inawezekana alizaa tu ili nae awe na watoto au alizaa baada ya hapo mwanaume kamkimbia,
Sio wote wanaozaa ndo walipendana.
Kwa utetezi huu jamaa aamue mwenyew kusuka au kunyoa
 
Single mother anataka nimuoe kinguvu ananililia kila siku jaman huyo mzazi mwenzake aliyemzalisha Kwann asimuoe
muhifadhi aisee utapata dhambi,, huenda ushampandaaaa weeee ila kuoa hutaki 😡 😡 😡
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…