KHEE

Kakupendelea wewe.
Usimuone kwa kuwa ni single mother ukamdharau.
Cha msingi wekeni mipango na makubaliano ya maana.
 
Tatizo hakuniambia mapema kama ana mtoto mapenz yamekolea ndyo ananiambia ana mtoto [emoji40][emoji40] why
Aliona akukoleze kwanza angekwambia mapema ungesepa.
 
Single mother anataka nimuoe kinguvu ananililia kila siku jaman huyo mzazi mwenzake aliyemzalisha Kwann asimuoe
Kuuliza kwamba kwanini asimuoe aliyemzalisha muulize huyo huyo single mother
 
Kuuliza kwamba kwanini asimuoe aliyemzalisha muulize huyo huyo single mother
Ni kweli ila sikutaka kumpa maneno makali huwa na huruma sana kwa wanawake thru to ma background
 
Hivi kumbe inawezekana kuwa na mtu na asigundue kama umeshajifungua mpaka umwambie!?!
 
Hivi kumbe inawezekana kuwa na mtu na asigundue kama umeshajifungua mpaka umwambie!?!
Ehhh nyie wanawake mna dogo basi kama mwanafunzi wakike tu ana mimba na home kwao mpka shule hawajui mpka anajifungua sembuse awe ameshazaa ndyo utajua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…