Mwenye material facts za case ya Khatija val vs Samji naomba anisaidie

Yodoki II

JF-Expert Member
Oct 17, 2014
5,517
3,995
Samahani waungwana, mwenye material facts za hiyo case aniwekee tafadhali. Ni KHATIJA BAI V SAMJI
 
Nilimpa kijana pikipiki yangu awe anafanyia kazi ya bodaboda ile siku mamkabidhi pikipiki ile usiku wake nikapata ajali hivyo ndugu yangu alipoteza maisha ktk ajali hiyo wakati nikiwa icu kijana niliyempa pikipiki ile alipiga cm akaongea na ndugu yangu akidai ameibiwa pikipiki na hapohapo yupo namdhamini aliyemwaminisha awape pikipiki mabwana wale wakaamishe kitanda hivyo akawapeleka kituoni polisi na kuwafungulia mashitaka ya wizi wa kuaminiwa wakalala police asubui yake walipewa dhamana nilipopona nikaenda kituoni pale kuwaeleza nikaambiwa kesi ishafunguliwa hivyo hatufungui kesi mbili nikamuuliza mimi ni mwenye mali na nina vigezo vyote kadi nk... hivyo aliyefungua kesi ile ni mtuhumiwa kwangu hivyo hastaili kufungua kesi bali anatakiwa anipe ushirikiano na wenzake wa kupata mali yangu. Yani mpaka sasa sijamuelewa mpelelezi wa kesi ile aseee maana nikiiitaji mrejesho hanipi walahataki kuulizwa chochote. Nishauri mwenzangu
 
Back
Top Bottom