KHASHOGGI murder

KHASHOGGI murder

JUAN MANUEL

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2010
Posts
8,560
Reaction score
18,430
Tangu mwandishi wa habari wa saudia auliwe kikatili,kwa amli ya Crown Prince wa Saudia,sijasikia ndugu zangu wa upande wa Pili wakipiga kelele,lakini Rohingya Muslim walipofulushwa kutoka kwenye makazi yao Burma,walikuja juu kweli kweli,kwa vile tu aliyewafurusha wa lohingya sio wa upande wao,
Unafiki wa kutisha,Khashoggi ameuliwa kikatiri,mwili wake ukakatwa vipande vipande,ukayeyushwa kwenye asidi,ukamwagwa kwenye chamber za maji taka,jamaa zangu kimya,au kwa vile aliyefanya yote hayo,ni mwenzenu,na ni kiongozi kule kwenye mji mtakatifu,
 
Nikimuona mtanzania anajifanya muislam sana au mkristo sana huwa namfananisha na kinyesi kilichotoka chooni kikapanda mezani na kujifanya na chenyewe ni keki.hivyo kinatamani kuliwa.Pumbavu
 
Nikimuona mtanzania anajifanya muislam sana au mkristo sana huwa namfananisha na kinyesi kilichotoka chooni kikapanda mezani na kujifanya na chenyewe ni keki.hivyo kinatamani kuliwa.Pumbavu
Duuh pole sana maana kwa povu hili ni dhahiri moyo wako umejaa chuki sana dhidi ya watu wa imani hiyo
 
We ulitaka tusemaje au nini ambacho hatujakisema?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom