Khan atamsumbua sana Mayweather

Khan atamsumbua sana Mayweather

Kana-Ka-Nsungu

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2007
Posts
2,257
Reaction score
366
Baada ya kuona fight yake ya usiku wa kuamkia leo dhidi ya Devon Alexander na ile iliyopita dhidi ya Luis Colazo, naamini kama Amir Khan atapewa chance anaweza kuishangaza dunia kwa kuwa mtu wa kwanza kumchapa Floyd Mayweather. Maywether inaonekana sasa anaitaka fight ya Pacquiao lakini sidhani kama hili pambano litakuja kufanyika kwa kuwa watashindwana kwenye mgao wa mapato. Floyd amekuwa akipigana na kuwapiga watu ambao wana ngumi nzito lakini pia sio wepesi, hajakutana na mtu mwenye speed kushinda yeye.

What do you think? Unadhani Pacquiao v Maywhether itafanyika hiyo May 2 mwakani? Who is your winner kama itafanyika?

KKN.
 
May si mwepesi sana ila mjanja kwenye kukwepa ngumi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom