Khamis Mgeja aliwezaje kua Mwenyekiti CCM mkoa? Haijui hata Katiba ya Chama, Samia kavunja Katiba ya Chama/Dola, Ukweli Huu hapa

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
28,749
Reaction score
91,814
Yeye kama anatibiwa huko India kwa Fedha za Abduli, atulie atibiwe akipona Ashukuru, Akifa, atulie !!.

Katiba ya CCM Ibada ya
100 (5) Unapofika wakati wa uchaguzi, Mkutano
Mkuu wa CCM wa Taifa utashughulikia
mambo yafuatayo:-
(a) ----
(b) Kuchagua jina moja la Mwanachama
atakayesimama katika uchaguzi wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania .

Hapa inamana Mkutano Mkuu unachagua Jina Moja tu ,Swali ni je unachagua kutoka wapi???.

Uhalali wa Uchaguzi wa Jina Moja Mkutano Mkuu unaupata kupitia Kikao Cha Halmashauri Kuu

Katika Katiba ya CCM Ibada ya
102
12) Unapofika wakati wa Uchaguzi,
Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa
itashughulikia mambo yafuatayo:-
(a) -----
(b) Kupendekeza kwa Mkutano
Mkuu wa CCM wa Taifa majina
yasiyozidi matatu ya Wanachama
wanaogombea nafasi ya Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
na kuyawasilisha mbele ya Mkutano
Mkuu wa CCM wa Taifa.

Hapa Halmashauri Kuu ya Chama , inachagua majina 3 ambayo ndio yanayotumwa Juu kwenye Mkutano Mkuu ili upigie Kura jina Moja ( Nasisitiza, mkutano mkuu haufanyi vetting, kazi yake ni kupiga kura, mkutano mkuu una kila aina ya takataka ambazo hata zikipewa laki mbili , zinapiga kura kwa sababu mkutano mkuu haupo kwa ajili ya qualifications bali umewekwa kwajili ya quantification).

Maana yake, Bila Halmashauri Kuu, Mkutano Mkuu hauwezi kutoa Mgombea wa Urais .

Swali ni je, Halmashauri Kuu unapata wapi majina Matatu ??.

Katiba ya CCM Ibara ya
104 ,
7) Unapofika wakati wa Uchaguzi Kamati
Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM ya
Taifa itashughulikia mambo yafuatayo:-
(a) ------
(b) Kufikiria na kutoa mapendekezo
yake kwa Halmashauri Kuu ya CCM
ya Taifa juu majina ya Wanachama
wasiozidi watano wanaoomba
kugombea kiti cha Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania.

Hapa inajieleza wazi, Ni Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu pekee, ndio inayochuja Watia Nia Kwa kuwafanya Vetting Kisha kujichagulia Majina Matano, ambayo hupelekwa Halmshauri Kuu ambayo nayo huchagua Majina Matatu Kati hayo Matano, Majina hayo Huwa imeridhishwa kua Watu hao watatu yoyote anafaa kua Rais , kwahiyo nayo hutuma Mkutano Mkuu, ambao kazi kubwa ya Mkutano Mkuu ambao wengi ni Wajumbe wa kawaidaaaa kazi yao ni KUPIGA KURA TU.

Unaweza Ona hapo, ni Kwa namna Gani, Katiba Imejieleza Hatua kwa Hatua kuanzia kwenye Wanachama kutoa Nia ya kugombea Urais, majina kufanyiwa Vetting na Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu, Majina Kufanyiwa Vetting na Halmashauri Kuu ,na hatimaye majina Matatu Kubwagwa kwenye Mkutano Mkuu ili mshindi apatikane Kwa Kura nyingi !!.

Mh Polepole, BALOZI Mstaafu, hapa ndipo akawauliza wanaosema Mkutano Mkuu una Mamlaka hiyo.... Je Majina 20 ya Watia Nia yakipelekwa Moja kwa Moja Mkutano Mkuu bila kuchujw poopote, Mkutano Mkuu utaweza Kumchagua Mgombea Mmoja??

Nafaham Machawa wa Mama Samia watakuja na Mbwembwe zao na Hoja za kikuma

1-Mama hii ni Awamu yake ya Pili? , Awamu inapatikana Kwa Bahati? Awamu ni lazima ipatikane Kwa hatua kama ambavyo Katiba inataka.

Na kama ni hivo, Je Rais Samia alichukua Fomu ya Kugombea Urais 2015 au hata hiyo 2021 ? Jina lake lilichujwa na Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu?? Lilichujwa na Halmshauri Kuuu?? Mkutano Mkuu ulilipitisha ?

Ukweli ni kua Rais Samia alikua anamalizia Awamu ya Tano . Yaani ni Rais wa Sita katika Awamu ya Tano ya Urais wa Nchi tangu Uhuru wa Taifa.

KWANINI ALILAZIMISHA KUJIITA NI AWAMU MPYA YA SITA???.

Rais Samia na Machawa wake ,Mazee ya Masilahi, yalikuja na upotoshaji wa Awamu mpya ya sita, ili rais samia apate mserereko wa desturi ya ccm kua rais lazima apewe fursa ya pili ya kumalizia awamu yake ya pili .

2-Ni Rais wa Sita ,Awamu ya Tano kipindi Cha Pili, Je Sasa ANASTAHILI Kugombea Urais ?.

JIBU ni HAPANA , Kwa Desturi , Tamaduni na Mila za CCM, MTU Kawa Makamo miaka mitano, Kawa Rais miaka mitano, ni jambo gan Jipya ambalo anataka kulileta Ñchini?

Ni vipi kama ANALAZIMISHA Kugombea kwakua yeye ndio Mwenyekiti?.

Jibu: Kama ANALAZIMISHA Kugombea ,Ni lazima utaratibu wote wa katiba ufuatwe, watia nia wawe wengi, wachukue fomu, wachujwe na kamati kuu ya halmashauri kuu, wachujwe na halmashauri kuuu ,kisha majina matatu yapelekwe mkutano mkuu.

Na Hiyo itaitwa Awamu ya Ngapi??.

Hiyo Sasa itaitwa Awamu ya Sita , je ataruhusiwa kugombea tena Kipindi Cha Pili yaan 2030 -2035 ya Awamu ya SITA?. HAPA SASA NDIO TUNASEMA RAIS SAMIA AZUILIWE KUGOMBEA URAIS KWA NAMNA YOYOTE INAYOWEZEKANA.

UDHAIFU WA KATIBA YA CCM, INACHUKULIA WATU HAWAFI, NA WAPOKUFA, HAINA OPTION YA NN KIFANYIKE TENA !!.... Katiba ingekua yenye kujipambanúa, Suala la Rais Samia lisingetusumbua vichwa hivi Sasa, angekua anajiandaa kurudi Kizimkazi kulea na kucheza na Wajukuu wake !!

NI INATIA SHAKA SANA, NAMNA GANI CCM INAWAPATA WENYE VITI NA VIONGOZI WAKE WA WILAYA..
ni kama vile Chama kinawapa Uenyekiti watu Maarufu, wenye Pesa, lakini sio watu wenye Uwezo na wanaokijua chama chao, Sina hakika kama Mgeja amesoma Katiba na Kuielewa na Sina hakika kama ANA ELIMU YA DARASANI, Nina uhakika tu kua ni MTU MWENYE PESA KAMA ALIVYO ASSAS !!.

RAISI SAMIA HAJAWAHI FANYIWA VETTING INAYOZIÑGATIA NAFASI YA URAIS , Alipendekezwa na Kikwete, akawa Makamo, na hatimaye kua Rais, Kwa Mujibu wa Katiba ya Nchi, hakukua na Chaguo jingine.zaidi ya kumalizia Muhula wa Pili wa AWAMU ya Tano, lakini Udhaifu Huu wa KATIBA, hakuondoi ukweli kua Rais Samia hakuwahi fanyíwa vetting ya Nafasi ya Urais, Naam isingewezekana Tena kufanyiwa baada ya JPM kufariki Kwa sababu Katiba haisemi hivo!!.

Naamini ukiwachagua Wajumbe wa Mkutano Mkuu Randomly, Wajumbe 100, ukiwauliza je Samia kikatiba anaruhusiwa kugombea?? Watakujibu tu Mkutano Mkuu ndio wa mwisho, yaan watu wajinga Huwa na uelewa wa kiujumla jumla ila hawaijui Katiba yao!!
 
Hapa Halmashauri Kuu ya Chama , inachagua majina 3 ambayo ndio yanayotumwa Juu kwenye Mkutano Mkuu ili upigie Kura jina Moja ( NASISITIZA, MKUTANO MKUU HAUFANYI VETTING, KAZI YAKE NI KUPIGA KURA, MKUTANO MKUU UNA KILA AINA YA TAKATAKA AMBAZO HATA ZIKIPEWA LAKI MBILI , ZINAPIGA KURA KWA SABABU MKUTANO MKUU HAUPO KWA AJILI YA QUALIFICATIONS BALI UMEWEKWA KWAJILI YA QUANTIFICATION).

Maana yake, Bila Halmashauri Kuu, Mkutano Mkuu hauwezi kutoa Mgombea wa Urais .

Swali ni je, Halmashauri Kuu unapata wapi majina Matatu ??.

Katiba ya CCM Ibara ya
104 ,
7) Unapofika wakati wa Uchaguzi Kamati
Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM ya
Taifa itashughulikia mambo yafuatayo:-
(a) ------
(b) Kufikiria na kutoa mapendekezo
yake kwa Halmashauri Kuu ya CCM
ya Taifa juu majina ya Wanachama
wasiozidi watano wanaoomba
kugombea kiti cha Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania.

Hapa inajieleza wazi, Ni Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu pekee, ndio inayochuja Watia Nia Kwa kuwafanya Vetting Kisha kujichagulia Majina Matano, ambayo hupelekwa Halmshauri Kuu ambayo nayo huchagua Majina Matatu Kati hayo Matano, Majina hayo Huwa imeridhishwa kua Watu hao watatu yoyote anafaa kua Rais , kwahiyo nayo hutuma Mkutano Mkuu, ambao kazi kubwa ya Mkutano Mkuu ambao wengi ni Wajumbe wa kawaidaaaa kazi yao ni KUPIGA KURA TU.

Unaweza Ona hapo, ni Kwa namna Gani, Katiba Imejieleza Hatua kwa Hatua kuanzia kwenye Wanachama kutoa Nia ya kugombea Urais, majina kufanyiwa Vetting na Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu, Majina Kufanyiwa Vetting na Halmashauri Kuu ,na hatimaye majina Matatu Kubwagwa kwenye Mkutano Mkuu ili mshindi apatikane Kwa Kura nyingi !!.

Mh Polepole, BALOZI Mstaafu, hapa ndipo akawauliza wanaosema Mkutano Mkuu una Mamlaka hiyo.... Je Majina 20 ya Watia Nia yakipelekwa Moja kwa Moja Mkutano Mkuu bila kuchujw poopote, Mkutano Mkuu utaweza Kumchagua Mgombea Mmoja??

Nafaham Machawa wa Mama Samia watakuja na Mbwembwe zao na Hoja za kikuma

1-Mama hii ni Awamu yake ya Pili? Wapumbavu nyinyi, Awamu inapatikana Kwa Bahati? Awamu ni lazima ipatikane Kwa hatua kama ambavyo Katiba inataka.
Na kama ni hivo, Je Rais Samia alichukua Fomu ya Kugombea Urais 2015 au hata hiyo 2021 ? Jina lake lilichujwa na Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu?? Lilichujwa na Halmshauri Kuuu?? Mkutano Mkuu ulilipitisha ? Ingetokea naye akafa,Makamo Dr Mpango akawa Rais, naye tungesema ni Awamu ya Saba? Naye Kafa ,Makamo wake akawa Rais, naye tungesema ni Awamu ya 8? Kwamba Ndani ya Miaka kumi ya Awamu ya Tano, tumepata Awamu tatu Ndani yake?? ....

Ukweli ni kua Rais Samia alikua anamalizia Awamu ya Tano . Yaani ni Rais wa Sita katika Awamu ya Tano ya Urais wa Nchi tangu Uhuru wa Taifa.

KWANINI ALILAZIMISHA KUJIITA NI AWAMU MPYA YA SITA???.
Rais Samia na Machawa wake ,na Majambazi ,Mazee ya Masilahi, yalikuja na upotoshaji wa AWAMU MPYA YA SITA, ILI RAIS SAMIA APATE MSEREREKO WA DESTURI YA CCM KUA RAIS LAZIMA APEWE FURSA YA PILI YA KUMALIZIA AWAMU YAKE YA PILI .

2-Ni Rais wa Sita ,Awamu ya Tano kipindi Cha Pili, Je Sasa ANASTAHILI Kugombea Urais ?.
JIBU ni HAPANA , Kwa Desturi , Tamaduni na Mila za CCM, MTU Kawa Makamo miaka mitano, Kawa Rais miaka mitano, ni jambo gan Jipya ambalo anataka kulileta Ñchini?

Ni vipi kama ANALAZIMISHA Kugombea kwakua yeye ndio Mwenyekiti?.

Jibu: Kama ANALAZIMISHA Kugombea , NI LAZIMA UTARATIBU WOTE WA KATIBA UFUATWE, WATIA NIA WAWE WENGI, WACHUKUE FOMU, WACHUJWE NA KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU, WACHUJWE NA HALMASHAURI KUUU ,KISHA MAJINA MATATU YAPELEKWE MKUTANO MKUU.

Na Hiyo itaitwa Awamu ya Ngapi??.

Hiyo Sasa itaitwa Awamu ya Sita , je ataruhusiwa kugombea tena Kipindi Cha Pili yaan 2030 -2035 ya Awamu ya SITA?. HAPA SASA NDIO TUNASEMA RAIS SAMIA AZUILIWE KUGOMBEA URAIS KWA NAMNA YOYOTE INAYOWEZEKANA.

UDHAIFU WA KATIBA YA CCM, INACHUKULIA WATU HAWAFI, NA WAPOKUFA, HAINA OPTION YA NN KIFANYIKE TENA !!.... Katiba ingekua yenye kujipambanúa, Suala la Rais Samia lisingetusumbua vichwa hivi Sasa, angekua anajiandaa kurudi Kizimkazi kulea na kucheza na Wajukuu wake !!

NI INATIA SHAKA SANA, NAMNA GANI CCM INAWAPATA WENYE VITI NA VIONGOZI WAKE WA WILAYA..
ni kama vile Chama kinawapa Uenyekiti watu Maarufu, wenye Pesa, lakini sio watu wenye Uwezo na wanaokijua chama chao, Sina hakika kama Mgeja amesoma Katiba na Kuielewa na Sina hakika kama ANA ELIMU YA DARASANI, Nina uhakika tu kua ni MTU MWENYE PESA KAMA ALIVYO ASSAS !!.
Zamani JF iikuwa na Great Thinkers, leo umejaribu kutukumbusha huko. asante siyo takataka akina rafiki yangu johnthebaptist
 
Hii ni kwa Machawa ya humu JF

Kwa mujibu wa katiba ya CCM:

Kamati Kuu ndiyo inafanya vetting ya majina hadi 5;

Halmashauri Kuu inachuja hadi majina 3;

Mkutano Mkuu unapiga kura jina moja;

Mchakato huu si wa ‘automatic’ bali lazima ufuate taratibu.

Kwa hiyo,

Rais Samia hakuwahi kuchukua fomu, hakuingia kwenye vetting, wala jina lake halikupitishwa na Mkutano Mkuu kwa njia za uchaguzi wa kawaida;

Hii ilikuwa ‘kuheshimu Katiba ya Jamhuri ya Muungano’ kwa kupandishwa baada ya kifo cha Magufuli;

Hivyo, kujiita ‘Awamu ya Sita’ ilikuwa propaganda ya kisiasa, si mchakato halali wa CCM.
 
yule ni rodi rofa katuni ya sani.Kuna mda wanajizima data ccm
Watu wa aina hii ,kuwaombea Kifo, sio Dhambi

Unajua Nchi inaharibiwa na wapuuzi kama Hawa ambao wapo kwaajili ya Matumbo yao.
 
  • Thanks
Reactions: Fbn
Hii ni kwa Machawa ya humu JF

Kwa mujibu wa katiba ya CCM:

Kamati Kuu ndiyo inafanya vetting ya majina hadi 5;

Halmashauri Kuu inachuja hadi majina 3;

Mkutano Mkuu unapiga kura jina moja;

Mchakato huu si wa ‘automatic’ bali lazima ufuate taratibu.

Kwa hiyo,

Rais Samia hakuwahi kuchukua fomu, hakuingia kwenye vetting, wala jina lake halikupitishwa na Mkutano Mkuu kwa njia za uchaguzi wa kawaida;

Hii ilikuwa ‘kuheshimu Katiba ya Jamhuri ya Muungano’ kwa kupandishwa baada ya kifo cha Magufuli;

Hivyo, kujiita ‘Awamu ya Sita’ ilikuwa propaganda ya kisiasa, si mchakato halali wa CCM.
Mkuu umeandika Kwa Ufupi na inayoeleweka vema, Kwa Machawa ambao ni watu wavivu wa kusoma, umewasaidia sana
 
Yeye kama anatibiwa huko India kwa Fedha za Abduli, atulie atibiwe akipona Ashukuru, Akifa, atulie !!.

Katiba ya CCM Ibada ya
100 (5) Unapofika wakati wa uchaguzi, Mkutano
Mkuu wa CCM wa Taifa utashughulikia
mambo yafuatayo:-
(a) ----
(b) Kuchagua jina moja la Mwanachama
atakayesimama katika uchaguzi wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania .

Hapa inamana Mkutano Mkuu unachagua Jina Moja tu ,Swali ni je unachagua kutoka wapi???.

Uhalali wa Uchaguzi wa Jina Moja Mkutano Mkuu unaupata kupitia Kikao Cha Halmashauri Kuu

Katika Katiba ya CCM Ibada ya
102
12) Unapofika wakati wa Uchaguzi,
Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa
itashughulikia mambo yafuatayo:-
(a) -----
(b) Kupendekeza kwa Mkutano
Mkuu wa CCM wa Taifa majina
yasiyozidi matatu ya Wanachama
wanaogombea nafasi ya Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
na kuyawasilisha mbele ya Mkutano
Mkuu wa CCM wa Taifa.

Hapa Halmashauri Kuu ya Chama , inachagua majina 3 ambayo ndio yanayotumwa Juu kwenye Mkutano Mkuu ili upigie Kura jina Moja ( Nasisitiza, mkutano mkuu haufanyi vetting, kazi yake ni kupiga kura, mkutano mkuu una kila aina ya takataka ambazo hata zikipewa laki mbili , zinapiga kura kwa sababu mkutano mkuu haupo kwa ajili ya qualifications bali umewekwa kwajili ya quantification).

Maana yake, Bila Halmashauri Kuu, Mkutano Mkuu hauwezi kutoa Mgombea wa Urais .

Swali ni je, Halmashauri Kuu unapata wapi majina Matatu ??.

Katiba ya CCM Ibara ya
104 ,
7) Unapofika wakati wa Uchaguzi Kamati
Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM ya
Taifa itashughulikia mambo yafuatayo:-
(a) ------
(b) Kufikiria na kutoa mapendekezo
yake kwa Halmashauri Kuu ya CCM
ya Taifa juu majina ya Wanachama
wasiozidi watano wanaoomba
kugombea kiti cha Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania.

Hapa inajieleza wazi, Ni Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu pekee, ndio inayochuja Watia Nia Kwa kuwafanya Vetting Kisha kujichagulia Majina Matano, ambayo hupelekwa Halmshauri Kuu ambayo nayo huchagua Majina Matatu Kati hayo Matano, Majina hayo Huwa imeridhishwa kua Watu hao watatu yoyote anafaa kua Rais , kwahiyo nayo hutuma Mkutano Mkuu, ambao kazi kubwa ya Mkutano Mkuu ambao wengi ni Wajumbe wa kawaidaaaa kazi yao ni KUPIGA KURA TU.

Unaweza Ona hapo, ni Kwa namna Gani, Katiba Imejieleza Hatua kwa Hatua kuanzia kwenye Wanachama kutoa Nia ya kugombea Urais, majina kufanyiwa Vetting na Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu, Majina Kufanyiwa Vetting na Halmashauri Kuu ,na hatimaye majina Matatu Kubwagwa kwenye Mkutano Mkuu ili mshindi apatikane Kwa Kura nyingi !!.

Mh Polepole, BALOZI Mstaafu, hapa ndipo akawauliza wanaosema Mkutano Mkuu una Mamlaka hiyo.... Je Majina 20 ya Watia Nia yakipelekwa Moja kwa Moja Mkutano Mkuu bila kuchujw poopote, Mkutano Mkuu utaweza Kumchagua Mgombea Mmoja??

Nafaham Machawa wa Mama Samia watakuja na Mbwembwe zao na Hoja za kikuma

1-Mama hii ni Awamu yake ya Pili? , Awamu inapatikana Kwa Bahati? Awamu ni lazima ipatikane Kwa hatua kama ambavyo Katiba inataka.

Na kama ni hivo, Je Rais Samia alichukua Fomu ya Kugombea Urais 2015 au hata hiyo 2021 ? Jina lake lilichujwa na Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu?? Lilichujwa na Halmshauri Kuuu?? Mkutano Mkuu ulilipitisha ?

Ukweli ni kua Rais Samia alikua anamalizia Awamu ya Tano . Yaani ni Rais wa Sita katika Awamu ya Tano ya Urais wa Nchi tangu Uhuru wa Taifa.

KWANINI ALILAZIMISHA KUJIITA NI AWAMU MPYA YA SITA???.

Rais Samia na Machawa wake ,Mazee ya Masilahi, yalikuja na upotoshaji wa Awamu mpya ya sita, ili rais samia apate mserereko wa desturi ya ccm kua rais lazima apewe fursa ya pili ya kumalizia awamu yake ya pili .

2-Ni Rais wa Sita ,Awamu ya Tano kipindi Cha Pili, Je Sasa ANASTAHILI Kugombea Urais ?.

JIBU ni HAPANA , Kwa Desturi , Tamaduni na Mila za CCM, MTU Kawa Makamo miaka mitano, Kawa Rais miaka mitano, ni jambo gan Jipya ambalo anataka kulileta Ñchini?

Ni vipi kama ANALAZIMISHA Kugombea kwakua yeye ndio Mwenyekiti?.

Jibu: Kama ANALAZIMISHA Kugombea ,Ni lazima utaratibu wote wa katiba ufuatwe, watia nia wawe wengi, wachukue fomu, wachujwe na kamati kuu ya halmashauri kuu, wachujwe na halmashauri kuuu ,kisha majina matatu yapelekwe mkutano mkuu.

Na Hiyo itaitwa Awamu ya Ngapi??.

Hiyo Sasa itaitwa Awamu ya Sita , je ataruhusiwa kugombea tena Kipindi Cha Pili yaan 2030 -2035 ya Awamu ya SITA?. HAPA SASA NDIO TUNASEMA RAIS SAMIA AZUILIWE KUGOMBEA URAIS KWA NAMNA YOYOTE INAYOWEZEKANA.

UDHAIFU WA KATIBA YA CCM, INACHUKULIA WATU HAWAFI, NA WAPOKUFA, HAINA OPTION YA NN KIFANYIKE TENA !!.... Katiba ingekua yenye kujipambanúa, Suala la Rais Samia lisingetusumbua vichwa hivi Sasa, angekua anajiandaa kurudi Kizimkazi kulea na kucheza na Wajukuu wake !!

NI INATIA SHAKA SANA, NAMNA GANI CCM INAWAPATA WENYE VITI NA VIONGOZI WAKE WA WILAYA..
ni kama vile Chama kinawapa Uenyekiti watu Maarufu, wenye Pesa, lakini sio watu wenye Uwezo na wanaokijua chama chao, Sina hakika kama Mgeja amesoma Katiba na Kuielewa na Sina hakika kama ANA ELIMU YA DARASANI, Nina uhakika tu kua ni MTU MWENYE PESA KAMA ALIVYO ASSAS !!.

RAISI SAMIA HAJAWAHI FANYIWA VETTING INAYOZIÑGATIA NAFASI YA URAIS , Alipendekezwa na Kikwete, akawa Makamo, na hatimaye kua Rais, Kwa Mujibu wa Katiba ya Nchi, hakukua na Chaguo jingine.zaidi ya kumalizia Muhula wa Pili wa AWAMU ya Tano, lakini Udhaifu Huu wa KATIBA, hakuondoi ukweli kua Rais Samia hakuwahi fanyíwa vetting ya Nafasi ya Urais, Naam isingewezekana Tena kufanyiwa baada ya JPM kufariki Kwa sababu Katiba haisemi hivo!!.

Naamini ukiwachagua Wajumbe wa Mkutano Mkuu Randomly, Wajumbe 100, ukiwauliza je Samia kikatiba anaruhusiwa kugombea?? Watakujibu tu Mkutano Mkuu ndio wa mwisho, yaan watu wajinga Huwa na uelewa wa kiujumla jumla ila hawaijui Katiba yao!!
Yote usemayo ni sawa ila Mkutano Mkuu wa CCM, una mamlaka ya know badili chochote.
P
 
Back
Top Bottom