Michael Amon
JF-Expert Member
- Dec 22, 2008
- 8,769
- 3,649
- Thread starter
-
- #81
Nasema kitu ambacho ni profession yangu, so niko experienced na watu kama ninyi !!!! Kwa nini upime hadi mara saba ilhali ikishafikisha mara tatu wanakwambia huna tatizo, nenda kajitunze. Vituo vingine ukienda na kile kikadi baada ya kupima mara tatu wanakuonya kabisaaaaaaaaaa kuhusu tabia yako maana wanafahamu kuwa una tabia hatarishi.
Inapendeza wanam support Mama
ndo manake...yaani huyu unategemea awe na watoto watatu kwa baba mmoja?thubutu
Hilo saizi yangu, nitalipeleka puta na mpaka nyumba ya pili watasikia malalamiko!Utaliweza hilo jimama wewe?
Hilo saizi yangu, nitalipeleka puta na mpaka nyumba ya pili watasikia malalamiko!
Mkuu hilo XXL si karaha kadogo kdogo, ni raha mpango mzima, full kujiachia!Sasa ukimpeleka puta utakuwa unampa raha ama karaha?
Mkuu hilo XXL si karaha kadogo kdogo, ni raha mpango mzima, full kujiachia!
Tafadhali naomba contact za huyo wa kwanza kushoto!
JF ni Kiboko, uzi una Miaka 9 tangu wanaJF walipomuona Zuchu kuwa ni Kisu, na matokeo tumeyaona 2021 Salute you Guys mko vzuri.Anaitwa zuhura zuchu
JF ni Kiboko, uzi una Miaka 9 tangu wanaJF walipomuona Zuchu kuwa ni Kisu, na matokeo tumeyaona 2021 Salute you Guys mko vzuri.
Walioweza wana nini mpaka mimi nishindwe??? tena hilo ndo zuri linanihonga kabisaaaa!! gari!! kiwanja, asikwambie mtu kuhongwa na mwanamke tena jimama!!! raha sana.Utaliweza hilo jimama wewe?
Nina hakika mimi nawazidi wote!! nataka nione humo ndani yake !!! walicho kitafuta woooote hao ni nini? Watu wazima, vijana kwa vikongwe!! asikwambie mtu Kuna K' ni kama zinavuta sumaku yaani huichoki!!!kha unapenda mpododo, kashapendwa na wengi kabla yako.