Khadija kopa:baada ya kufiwa nimebaini napendwa....

Khadija kopa:baada ya kufiwa nimebaini napendwa....

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,104
Reaction score
34,921
​

MALKIA wa Mipasho Afrika Mashariki, Khadija Kopa amesema baada ya kufiwa na mumewe kipenzi,

Jafari Ally, amegundua kuwa anapendwa na watu wengi tofauti na alivyokuwa akifikiria.

Akistorisha na mwandishi wetu, Khadija alisema kuwa kipindi alipokuwa kwenye matatizo alishangazwa na

ukaribu ulioonyweshwa na watu hata ambao hakuwatarajia na ameijua nafasi yake kwenye jamii.

“Nimesaidiwa na asasi mbalimbali, vikundi pamoja na watu wengi, huku wengine wakiniambia kuwa

nikitaka msaada niwapigie ingawa sijafanya hivyo, nimefarijika sana kuona napenda kiasi hiki,” alisema

mwanamama huyo ambaye anatarajia kumaliza eda Oktoba 16, mwaka huu kabla ya kurejea mzigoni.


KHADIJA KOPA:BAADA YA KUFIWA NIMEBAINI NAPENDWA.... - GUMZO LA JIJI
 
Back
Top Bottom