Khabari ndio hiyo

aiseee.. wengine wanalalamika hawawezi kumiliki penzi sababu hawana hela. hayo maneno tu hata kwny kanga yapo. tena nyie wa hivi ndo mnahongaga mpaka vya mfuko wa nyuma wa suruali.. mtupishe sie
 
aiseee.. wengine wanalalamika hawawezi kumiliki penzi sababu hawana hela. hayo maneno tu hata kwny kanga yapo. tena nyie wa hivi ndo mnahongaga mpaka vya mfuko wa nyuma wa suruali.. mtupishe sie

Hahahahhhaaa
 
Sasa nani atuhudumie jamani??????Mbona wanaume wa siku hizi mnapindisha sana maneno?Kwani babu zetu walikua hivi kweli???
 
tena mtani wewe unanyanyauga na mikono juu kabisa wifi achukue kiasi anachotaka.... kila mtu anajifanya hahongi, uongo mtupu.
Matege mtani wangu mimi kipaji changu kuhonga, yani nahonga hadi natia imani muulize Mae atakwambia!! Hii msg kaandika mdada mi ni kijumbe tu...!
 
Last edited by a moderator:
Matege mtani wangu mimi kipaji changu kuhonga, yani nahonga hadi natia imani muulize Mae atakwambia!! Hii msg kaandika mdada mi ni kijumbe tu...!

hahaaaa.. umekabidhi na simu kabisa... we una kipaji basi, ukigundua kipaji chako utafika mbali mkuu.. wahi basata
 
Last edited by a moderator:
hahaaaa.. umekabidhi na simu kabisa... we una kipaji basi, ukigundua kipaji chako utafika mbali mkuu.. wahi basata

Hahahahaaaa tena kuhonga smart phones kwangu ni sawa nakununua bazoka, halafu wala sijali mrejesho, nikikupa nimekupa hata kama hatufahamiani sikumbuki kwakweli nimeshahonga ngapi
 
Hahahahaaaa tena kuhonga smart phones kwangu ni sawa nakununua bazoka, halafu wala sijali mrejesho, nikikupa nimekupa hata kama hatufahamiani sikumbuki kwakweli nimeshahonga ngapi

umeanza kunivutia.. hahaaaa
 
Usinikumbushe ya mwanangu bazo kukataa demu mwenye hela..
 
Sasa nani atuhudumie jamani??????Mbona wanaume wa siku hizi mnapindisha sana maneno?Kwani babu zetu walikua hivi kweli???

Jaribu kuwa mvumilivu kama mama yako. Baba yako alikua hana hata senti mbili lakini mama yako alimuelewa na kumpa fursa.
 
There is no better feeling than spending your own hard earned money as a woman. No better feeling making your own cash. No better feeling than buying the man in your life gifts. Expecting a man to pay all your bills and more is selling your soul to the devil. It is providing a man with the opportunity to us you over material things. Soon your conscience grows numb and you do despicable things all for the love of money.

I insist, no better feeling than earning your own cash as a woman.

cc gwijimimi, benteke, Mapi
 
Last edited by a moderator:
Naona bango la kidhungu lakini majibu ya kibantu toba na bora ingikuwa la kifaransa ni safi sana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…