Ninawashukuru wote kwa kurespond kwa namna mlivyorespond........ninaheshimu mawazo yenu na ninakubaliana na nyie kuwa wa kudeal naye ni MUME aliyekula kiapo. Ni kweli kabisa LAKINI kama activist wa haki na heshma ya Mwanamke, nikitaka kuraise awareness juu ya haki na heshma ya wanawake niegemee upande gani?
Mie mtazamo au side yangu iko kwa mwanamke aliyeletwa nyumbani, na si kwa mke aloibiwa penzi. Kwa nini kama mwanamke "decent" nikimaanisha si changudoa na wala hukuamua kuwa na huyu mtu kama mapozeo, kwa nini ukubali kutumiwa? ........................ kama kweli mwanaume huyo anazo guts akupeleke nyumbani kwake wakati mkewe wa ndoa yupo basi! Otherwise ni kujikubalisha kuchezewa na kutumiwa!
Kuna waloniuliza why sipambani na mume badala ya the Other Woman, yes ni kweli wa kupambana naye ni mume kama niko selfish (nia yangu ni kumprotect Mume wangu na ndoa yetu ambayo yeye mume hajaithamini) But kama am in pro- Sisterly love.kwa nini niruhusu mwanamke mwenzangu achezewe??
Sawa chezewa kwa kupelekwa hotelini/guest houses but kuletwa nyumbani kwa mwanamke mwenzio, tena akiwa hayupo???? I would give the credict kuwa wapendwa kidhati iwapo utapelekwa wakati mke wa ndoa yupo, then would mean that the man amekuchoose wewe instead of Madame and that will give you a bit of credit iwapo huko kibiashara zaidi
hivi huwa ni kuchezewa au kuchezeana, so waliolewa wenyewe wanachezewa kila siku kazi kweli kweli
wanawake na sex
Kaunga, ukianza kazi ya kuwabembeleza/ kugombana na OW kuachana na mumeo, ujue hiyo kazi utaifanya milele, maana mume atajua fika kuwa huna guts za kupambana naye. na mimi huwa najiuliza, unapambanaje na third part wakati tatizo unalo ndani kwako? yaani mtu nalala naye naamka naye siongei naye halafu napoteza nguvu zangu kupambana na mtu ambaye hanihusu.............. huko ni kupoteza muda na nguvu bure, na hutaponya tatizo la mumeo kutoka nje, cha zaidi ni kuwapa tu watu nafasi ya kukuona chiziAgain MwanajamiiOne
Kwanini unafikiri mwanamke ndiye anachezewa na si mumeo? Bila kuelewa thinking ya hao OW uactivist wako hauwezi fanya kazi.
Best wishes katika kumpeotect mumeo kwa kuplead with 'the Joleens'.
Dark City
Nakubaliana nawe kuwa huyo OW anakosea kuingilia ndoa ya watu; but as a wife, what can u do? Yes waweza plead naye akaacha lkn mumeo akatafuta mwingine na mwingine na mwingine. What a hell of work utakuwa nao ya kuwabembeleza au hata kuwashurutisha hao OW wasikuibie mume?
Kwa mtu kama mimi, nadeal na root au shina la matatizo; (mume) n if l succeed then nimemaliza!
Kaunga, ukianza kazi ya kuwabembeleza/ kugombana na OW kuachana na mumeo, ujue hiyo kazi utaifanya milele, maana mume atajua fika kuwa huna guts za kupambana naye. na mimi huwa najiuliza, unapambanaje na third part wakati tatizo unalo ndani kwako? yaani mtu nalala naye naamka naye siongei naye halafu napoteza nguvu zangu kupambana na mtu ambaye hanihusu.............. huko ni kupoteza muda na nguvu bure, na hutaponya tatizo la mumeo kutoka nje, cha zaidi ni kuwapa tu watu nafasi ya kukuona chizi
NATAMANI......................................... kujua wanachokuwa wanafikiria pale wanaposuggest Guest yao iwe nyumbani kwa Mj1 simply because Mj1 hayupo amesafiri, ni kuishiwa pesa za kulipia guest/hotel au anakuwa anataka kupata ile fantasy kuwa yuko na Mj1 ?? Why kitandani kwangu??? ambako pengine hata harufu ya udi au perfume au hata natural scent yangu bado inasikika??
Wanawake wenzangu,
Siku hizi kutembea na mume wa mtu ni jambo la kawaida lakini ndio akulete nyumbani, ulalie the same bed anacholalia na mkewe?? That is too much akhaa!!
Hebu tujiulize kwa nini hakuleti nyumbani hapo wakati mkewe yupo? Jeuri hiyo hana kwa kuwa- ANAMPENDA MKEWE na HAYUKO tayari kumpoteza kwa sababu YAKO. Wewe utabakia kuwa mwanamke wa kupoza MHEMKO wake siku zote na katu hutoifilia hadhi ya MKEWE.
Tahadhari, Chukua Hatua!
.....Sawa hapa nimekuelewa suppose hakukuwa na signs zozote? Supposed he pretended kula na kipofu, so silent the so-called perfect hubby and then umesafiri akajifungua makucha na kumleta nyumbani ...................Bado utasema nilijikubalisha? Mie ambaye hata kufikiri kuwa anawezakuwa anacheat sikuwahi?
This has been my point all along; yaani tunapenda kujidanganya kuwa huyo mwanmke ni victim hivyo tunampa ushauri wa kuacha kuwa victim.
What if yeye ndio kamtongoza, na what if ndio kampa sharti mumeo kuwa you have to take me to ur home. The husband ndiye zezeta hapa, hata kama hakupewa sharti hilo lakini kitendo cha kudharau chumba cha mkewe kwa kiwango hicho, achilia mbali kugawa dudu ya mkewe kwa huyo OW.
Na fact nyingine, ingawa ni mbaya huyo OW anaweza akawa hajali kuwa maza hausi anaumia wala nini, so pleading with her ni kutwanga maji kwenye kinu. yeye morals zake ni "akiwa ndani ni wa kwako akiwa nje ni wa wote". So sad, but true.
Bado sijazungumzia jinsi gani mumeo anavyolalamika kwa huyo OW kuwa wewe si mtamu au hujui mapenzi au alilazimishwa kukuoa, au ulibeba mimba ili umtrap and so many other disgusting things wanaume husema/hudanganya ili kupata kile wanachokitamani.
The monster hapa will remain to be your dear husband, and you have to deal with him.
Tuna mitazamo tofauti sana Fixed Point, hiki ndicho nilichogundua. Ila mimi nafikiri ni uoga wa kumface mume na unyonge wa kupitiliza wa baadhi yetu. No wonder tutazidi kunyong'onyea mpaka mwisho wa dahari. Hao wanaume tunaodhani wanapenda wanawake wanyenyekevu ndio wanaoacha hao na kuwafuata wale wanaofikiria kwa vichwa vyao wenyewe. So sad!
Kaunga nakubaliana na yote hayo na wala sibishi but hoja yangu ni kuwa kama si victim na kama kweli wanaume hawatutumii sie wanawake basi wadiriki kutupeleka huko kwenye vitanda vya ndoa zao wakati wake zao pia wapo na waweke wazi kwa wake zao kuwa sisi ni bora zaidi ya wake zao. If they have those guts........Otherwise tunatumiwa tu. Hayo ya kunambia kuwa mie mtamu kuliko mkewe, mie ndo hadhi yake sijui niko classic zaid ya my wife yake ayaseme mbele ya mkewe otherwise ni usanii tu na mimi I will count myself stupid kama nitayaamini 100%.
Kuna mmoja amesema kuwa wakija kwetu na nyimbo zao si kwali kuwa hawawapendi wake zao, so ituingie akilini sie wanawake kuwa unless nawe unaplay the game but kama kuna upendo kati yetu sie wanawake kwa nini nijiaminishe hewa??
......hapo mwj1 jibu rahisi ni kwamba huyo mwanaume/mwanamke hakuthamini, hakuogopi, wala hajali hisia zako.
My ex- used to sleep with her boyfriend nyumbani kwetu. Miaka hiyo ya long-dist....
Ukiniuliza huyo mwanaume alijiaminishaje? Simply nitakujibu mtalaka wangu alimkaribisha na kumkarimu kwakuwa sikuwapo....
Kwenye bold, it has happened before. Nilishatoa hiyo story back then ya mume kumchukua OW na kumwambia mkewe asimame ajifunze. At the end of the story mke akamshirkisha mjumbe (mmama aliyenisimulia hiyo story) na mume alifungwa, alivyotoka jela akatubu na ndoa inadumu mpaka leo.
Back to your reasoning; kuwa OW akipelekwa chumbani kwa maza hausi kwa vile hayupo maana yake anatumiwa? Naona haina mshiko sana; maana kama ni kutumiwa hata wakifanyia kwenye gari kama anatumiwa ni anatumiwa tu; lakini point yangu kubwa kuna wanawake wengi nao huwatumia wanaume, au hutumiana. Mwanamke naye anaweza muona mwanamume fulani akampenda na kujigonga hadi kuwa naye; sasa huyo ukienda na agenda kuwa anatumiwa while yeye anapenda/anataka 'kutumiwa' haitasaidia sana.
Labda tuainishe jinsi gani mwanamke anaweza kumtumia mwanamume:-
1. Kingono (huyu ni mdada/mmama ambaye age yake kupata single men ni ngumu)
2. Kiuchumi (huyu ni yule ambaye ameamua kuwa biashara yake ni mwili wake)
3. Kwa jambo mahsusi (cheo, shule, siasa etc)
Na kuna ambao wana'tumiana' yaani malengo yao yamemeet halfway hawa ambao kweli wanapendana, na hii si ajabu kwani si ndoa zote ni zao la upendo.
Nyumba Kubwa,iwe iwavyo,siamini kama wanaume hawawezi kuvumilia,i knw na mimi ni shahidi nimeshakaa miaka zaidi ya mi3 bila kudo!Pia mwanadamu yoyote kama ana mtu wake hakuna uhalali wowote wa yeye kufanya ngono nje ya ndoa eti kwa sababu amehemkwa.Usijifariji akizini hakupendi,upendo unakwenda na heshima.Mkipendana mtaheshimiana,mkiheshimiana hamtaweza kugawa tupu zenu hovyo!Yako ni haki ya mwenzio na ya mwenzio ni haki yako.Ukimheshimu na kumpenda mwenzio utaitoaje haki yake kwa mtu mwingine?
Hii thread hii... nzuri sana
lakini ina mambo mazito na watu wanayakwepa......
Nayo nipersonal experience!!!
Nyumba Kubwa,iwe iwavyo,siamini kama wanaume hawawezi kuvumilia,i knw na mimi ni shahidi nimeshakaa miaka zaidi ya mi3 bila kudo!Pia mwanadamu yoyote kama ana mtu wake hakuna uhalali wowote wa yeye kufanya ngono nje ya ndoa eti kwa sababu amehemkwa.Usijifariji akizini hakupendi,upendo unakwenda na heshima.Mkipendana mtaheshimiana,mkiheshimiana hamtaweza kugawa tupu zenu hovyo!Yako ni haki ya mwenzio na ya mwenzio ni haki yako.Ukimheshimu na kumpenda mwenzio utaitoaje haki yake kwa mtu mwingine?
MJ1,hao ni wajinga na wasiojua.Kwani mwanaume ni vipi mpaka ashindwe?Tatizo huanzia kwenye namna tunavyofikiri.Wanawake wengi wanaamini kuwa wanaume wako hivyo matokeo yake wanapata wanaume wa kufanana na kile wanachoamini(hii ni kanuni ya maumbile)Wanaishia kulaumu jambo walilolisababisha wenyewe!