shule yako kiwango gani? huja wahi kuwa monita, au kilanja, au kufanya morning talk shuleni? vipi hujafanya hata ngojera, maigizo primary hadi secondari? au "John Kisomo"?
Wewe hata ukienda TSJ au British Council kwa sasa hautaweza sababu unaumwa unaitaji tiba.
Dawa ya muda mfupi..
1.soma kichekesho nenda kawaambie watu wako wa karibu, wakicheka, una andika point fanya hivyo anagalu mara 10, kwa watu tofauti vichekesho tofauti.!!
2. Tunga story (ukweli/uongo/matukio ya zamani ya shule) kisha simulia, wape mda watu wakuulize, waelewe, wacheke, kama ni kuchekesha au wasikitike kama ni ya kusikitisha. Unaweza zigawa katika makundi, za kufurahisha, na za kusitikitisha (usizitoe siku moja kwa kundi moja).
3. kama ni mwanaume ukiwa njiani kwenda au kurudi kazini, daladala au chombo chochote cha usafiri, hata kwa mguu msemeshe mwanamke (kama mwanamke msemeshe mwanaume) mfanye aongee nawewe, ( she has to pay attention on YOU) kwa sababu ndo unaanza unaweza ukaanza na maswali madogo madogo kama 5, kisha ukafikisha 50 kwa watu tofauti, ambao hujakutana nao kabla.
Tiba ya muda wa kati
1 .Soma hadithi kisha isimulie kwa kifupi bila kupoteza maana, fanya kila mtu avutiwe aweza kutaka kusikiliza!
2. Ongea peke yako ndani na kujirekodi video/audio kisha baada ya muda sikiliza je unaeleweka unavutia mtu kusikiliza? 3. Angalia filamu, chagua "role model" actor jinsi anavyo ongea kisha na wewe jaribu kumugiza....... ( ila za kibongo sikushauri, kidogo za kinegeria na za kimarekani ( hasa kama ofisi yako inatumia ng'eri)
Jaribu hizo kwanza kisha utaniambia.
wakatabahu!!
habarini,hivi
tatizo hili la kutetemeka na kushindwa kumaliza maelezo unapoongea
mbele ya mtu/watu linasababishwa na nini? na tiba yake ni nini?mi
mwezenu hata kama na hoja nzito huwa na shindwa kuielezea,nikijaribu
kuielezea huwa natetemeka mdomo pia maneno yanakuwa mazito inafikia
hatua na katisha maelezo hafu na kuwa kama sijaeleweka vile mbele ya
hadhira.Hii unitokea hata nikiwa naongea na watoto.
shule yako kiwango
gani? huja wahi kuwa monita, au kilanja, au kufanya morning talk
shuleni? vipi hujafanya hata ngojera, maigizo primary hadi secondari? au
"John Kisomo"?
Wewe hata ukienda TSJ au British Council kwa sasa hautaweza sababu
unaumwa unaitaji tiba.
Dawa ya muda mfupi..
1.soma kichekesho nenda kawaambie watu wako wa karibu, wakicheka, una
andika point fanya hivyo anagalu mara 10, kwa watu tofauti vichekesho
tofauti.!!
2. Tunga story (ukweli/uongo/matukio ya zamani ya shule) kisha simulia,
wape mda watu wakuulize, waelewe, wacheke, kama ni kuchekesha au
wasikitike kama ni ya kusikitisha. Unaweza zigawa katika makundi, za
kufurahisha, na za kusitikitisha (usizitoe siku moja kwa kundi moja).
3. kama ni mwanaume ukiwa njiani kwenda au kurudi kazini, daladala au
chombo chochote cha usafiri, hata kwa mguu msemeshe mwanamke (kama
mwanamke msemeshe mwanaume) mfanye aongee nawewe, ( she has to pay
attention on YOU) kwa sababu ndo unaanza unaweza ukaanza na maswali
madogo madogo kama 5, kisha ukafikisha 50 kwa watu tofauti, ambao
hujakutana nao kabla.
Tiba ya muda wa kati
1 .Soma hadithi kisha isimulie kwa kifupi bila kupoteza maana, fanya
kila mtu avutiwe aweza kutaka kusikiliza!
2. Ongea peke yako ndani na kujirekodi video/audio kisha baada ya muda
sikiliza je unaeleweka unavutia mtu kusikiliza? 3. Angalia filamu,
chagua "role model" actor jinsi anavyo ongea kisha na wewe jaribu
kumugiza....... ( ila za kibongo sikushauri, kidogo za kinegeria na za
kimarekani ( hasa kama ofisi yako inatumia ng'eri)
Jaribu hizo kwanza kisha utaniambia.
wakatabahu!!
Sikuwahi kuwa kiongozi,nilikuwa siendi assemble nikijua ni zamu yangu kutoa morning speach, ASANTE SANA KWA USHAURI MZURI UBARIKIWE.
basi hyo kazi uliyonayo ni ya kutumia mwili ktk utendaji wake au uliipata kwa kuvua chupi au kutoa 0713......
basi hyo kazi uliyonayo ni ya kutumia mwili ktk utendaji wake au uliipata kwa kuvua chupi au kutoa 0713......
habarini,hivi
tatizo hili la kutetemeka na kushindwa kumaliza maelezo unapoongea
mbele ya mtu/watu linasababishwa na nini? na tiba yake ni nini?mi
mwezenu hata kama na hoja nzito huwa na shindwa kuielezea,nikijaribu
kuielezea huwa natetemeka mdomo pia maneno yanakuwa mazito inafikia
hatua na katisha maelezo hafu na kuwa kama sijaeleweka vile mbele ya
hadhira.Hii unitokea hata nikiwa naongea na watoto.Leo nimelazimika
kuomba msaada humu kutokana kwamba kazini nimepewa kitengo ambacho
kinahitaji kuzungumza kwenye vikao nilitaka kukataa lakini nikashindwa
kukataa nilikaa kimya ingawa moyoni sikupenda kabisa hilo jukumu sasa
hata kazi naiona chungu.ushauri wako tafadhali.
Mwana, usiwasikilize baadhi ya vichaa humu ndani. Mimi niko chuo nafanya kazi kwenye research institute maarufu US. Haya mambo sio ajabu. Inaitwa anxiety/panic attack. Soma hapa kwa maelezo zaidi: Panic attack - Wikipedia, the free encyclopedia Mimi ni mtu ambaye nimefaulu vizuri na siku zote niliambiwa kuwa nina akili sana. Lakini mpaka leo hii bado nakuwa anxious hata kama naongelea jambo dogo tu mbele ya watu wawili watatu. Cha ajabu utakuta pengine najua kuhusu kitu fulani kuliko mtu yoyote na bado huwa nakuwa anxious. Nimekuwa nikiongea mbele ya watu kwa miaka mingi tu (tokea utotoni). Muda mwingine watu wanashangaa maana wanafikiri labda ni ugonjwa mbaya. Usihofu, duniani kuna watu wengi tu wanashida kama yako (IMDb: Celebrities with a history of depression and/or anxiety - a list by johanna-khristina). Ili mradi unajua kuwa hauna cha kuhofia, basi shikilia usukani
mashaallah!
Ni PM namba yako, natoa training ya Public speaking na jinsi ya kucope na situation uliyonayo.Habari wakuu,
Nina tatizo la kutetemeka na kushindwa kumaliza maelezo unapoongea mbele ya mtu/watu linasababishwa na nini? na tiba yake ni nini? Mi mwezenu hata kama na hoja nzito huwa na shindwa kuielezea, nikijaribu kuielezea huwa natetemeka mdomo pia maneno yanakuwa mazito inafikia hatua na katisha maelezo hafu na kuwa kama sijaeleweka vile mbele ya hadhira.
Hii unitokea hata nikiwa naongea na watoto.Leo nimelazimika kuomba msaada humu kutokana kwamba kazini nimepewa kitengo ambacho kinahitaji kuzungumza kwenye vikao nilitaka kukataa lakini nikashindwa kukataa nilikaa kimya ingawa moyoni sikupenda kabisa hilo jukumu sasa hata kazi naiona chungu.ushauri wako tafadhali.