nguluvisonzo
JF-Expert Member
- Dec 27, 2010
- 515
- 72
waislam tumeshaistukia kwamba bakwata sio chombo cha kusimamia na kuendeleza uislam bali kiliundwa mahsusi kwa ajili ya kuwagawa waislam na maamuzi yote wanayapata ccm na serikalini, bakwata ni kichefu chefu.
Jamani hawa bakwata mbona hawatangazi mwezi? Mwezi umeonekana mtwara na baadhi ya maeneo ya kusini.....nashindwa kuwaelewa hawa watu nao wameshikwa na magamba tatizo....pumbafu sana hawa
aseeee!!
Kanisa gani hilo linatoa maamuzi na directives kwa BAKWATA?
Au ndo maana BAKWATA NA KANISA WANAUZA MADAWA YA KULEVYA?
Aseee!
Duh!
Walikuwa wanapata maamuzi kutoka Serikalini wakati wa Nyerere, kwa sasa wanapata kutoka kanisani!
BAKWATA kama BAKWATA hawana matatizo globalization imeingia mpaka kwenye dini,kilichopo sasa hivi kuna kundi linaitwa wavaa suluali fupi(jina la kidini nimelisahau) hawa jamaa bwana wanapeleka mambo tofauti na BAKWATA hivyo kunakuwa na mchanganyiko sana,kikubwa wanachokifanya hawa kuonyesha BAKWATA hawafanyi kazi yao na wao ndio mbadala,kabla yao walikuwa SUNI,HAMADIA,SHIA nk.hakukuwa na vurumai,walivyoanzisha dhehebu lao hawa jamaa ni balaa kwanza walianza na kupora misikiti kwa nguvu na kuweka viongozi wao fuata masharti yao,sikukuu ya IDD wakaanza kula mapema zaidi na kujigamba wako sahihi ilimuradi ikawa vuluvulu tupu.
Ndio matatizo ya kutotaka kubadilika badala ya kutumia kalenda ya kawaida bado watu wanategemea kuandama kwa mwezi ytafikiri tuko enzi za Vasco Da Gama aliyesafiri kwa kuangalia mwezi na nyota enzi hizooooJamani hawa bakwata mbona hawatangazi mwezi? Mwezi umeonekana mtwara na baadhi ya maeneo ya kusini.....nashindwa kuwaelewa hawa watu nao wameshikwa na magamba tatizo....pumbafu sana hawa
Mkuu umemwambia maneno ya busara sana! lakini kwa Faiza ni kama yanaingilia sikio hili na kutokea sikio lingineFaizaFox, with due respect huonekani kuishiwa visingizio. Kwenye ile thread nyingine unamlaumu Hayati Mwl Nyerere kwa huu mkorogo wa kutoona mwezi! Hapa unakuja na lawana nyingine kwamba ni kwa sababu ya kutokuwepo kwa mahakama ya kadhi? Kwa hiyo Hakimu wa mahakama (ya kidini) ndiyo mwenye macho, hawa waislam wengine hawana? Hata kufunga ni hivyo hivyo, kuna kundi moja linaanza kufunga siku moja kabla.
Kama Waislam hawataamka kwenye huu usingizi wa pono na kutumia calendar wataendelea na huu mfumo wa UJIMA wa kuangalia mwezi! Mwaka 2011 watu wanaangalia mwezi na sio calendar? Hivi kwa mfano mtu unataka kupanga holiday yako around Eid, utafanyaje kama huna uhakika Eid ni lini? Kama waislam wanakubali kutumia LOUD SPEAKER tofauti na wakati wa MTUME kwa nini wasi-upgrade utaratibu wa kujua siku ya Eid kwa kutumia elimu ya science Calendar? Kwa nini wanakubali kutumia saa (electronic watch) na sio calendar? Kuna contradiction kubwa hapa. Na pengine Faiza ungesaidia sana wenzako kwa kuelekeza lawama kwenye huu mfumo wa UJIMA badala kutafuta visingizio.
BAKWATA kama BAKWATA hawana matatizo globalization imeingia mpaka kwenye dini,kilichopo sasa hivi kuna kundi linaitwa wavaa suluali fupi(jina la kidini nimelisahau) hawa jamaa bwana wanapeleka mambo tofauti na BAKWATA hivyo kunakuwa na mchanganyiko sana,kikubwa wanachokifanya hawa kuonyesha BAKWATA hawafanyi kazi yao na wao ndio mbadala,kabla yao walikuwa SUNI,HAMADIA,SHIA nk.hakukuwa na vurumai,walivyoanzisha dhehebu lao hawa jamaa ni balaa kwanza walianza na kupora misikiti kwa nguvu na kuweka viongozi wao fuata masharti yao,sikukuu ya IDD wakaanza kula mapema zaidi na kujigamba wako sahihi ilimuradi ikawa vuluvulu tupu.
Ndio maana wanafanya njama kuhakikisha waislam wanfarakana katika kila jambo hata katika ibada zao.
Zote ni athari za mfumo kristo ila mwisho wake unakuja karibuni.
Jamani hawa bakwata mbona hawatangazi mwezi? Mwezi umeonekana mtwara na baadhi ya maeneo ya kusini.....nashindwa kuwaelewa hawa watu nao wameshikwa na magamba tatizo....pumbafu sana hawa
Nakuhakikishia kama kuna viongozi wajinga basi ni wa Bakwata yaani mtu anatangaza kufunga habari za kupokea mwezi saa nne tu, yaani ni ujinga ulipea mipaka. Shida wana beef kubwa na radio Imani wakati wao hana antenna ya radio hawana. Shwine sanaaaaa hawa viongozi....naamini faiza foxy sii mwanamke na sii muislam.atasemaje bakwata wanapata maamuzi kutoka kanisani sii kuwatukana bakwata? mhh makubwa.KANISA linahusikaje na bakwata wajamini? tusubirie kesho asubuhi au sikiza news TBC saa sita usiku huu utakua ukweli.
Inategemea unasikiliza redio gani, Clouds tayari wameshatangaza zamani sana.
Watahukumiwa sana kwa ujinga wao, hebu fikiria mtume enzi zake alipopogana alipigana kwa kutumia panga ukisema leo waislamu tupigane kwa kutumia mapanga jua kabisa utashindwa kabisa. Hebu jiulize ni kweli Bakwata wanashindwa kuingia gharama za kutafuta habari kuandama? Tumekatazwa kuangalia mwezi kwa kutumia vyombo lakini siyo kutafuta habari!Tatizo ni pale BAKWATA walipotishiwa nyau na hawa jamaa wakakubali kuyumbishwa hebu ona sasa. Redio imani jana saa 4;30 usiku walipata taarifa za kuonekana mwezi na wakasema eti waliokuwa wanapokea taarifa za kupokea mwezi walikuwa wameshasitisha hilo zoezi na wakawa kana kwamba wanailaumu BAKWATA kwa kukaa ofisini kusubiri taarifa za kuonekana kwa mwezi bila wao kwenda kuzitafuta. Hili ni tatizo kubwa
<br />Hapo ndio utajuwa kwanini Waislaam tunataka kadhi na mahakama ya kadhi virudishwe, vilikuwepo vikaondolewa na nyerere kwa udini wake.
<br />
<br />
Hapo umenipa mashala na maelezo yako. Wapi ndani ya quran imeeleza kua mwezi unazunguuka masiku 28?
Nina ufaham na hayo mambo ya mwezi lakin kwenye dini ya islam hayo hakuna. Unataka kutuelimisha GMT nayo imeanzia wapi?
Maswala haya hakuna haja ya kuwalalamikia Bakwata. Bakwata wanayo matatizo yao basi isiwe kila kiti ni bakwata. Kwanza tuelimishane wenyewe mambo yetu ya dini. Kitendo cha kutaja ubaya wa mwenzio kabla hujataja ubaya wako si kizuri. Pale bakwata wapo masahykh wazuri hawawezi? Kwani makkah inatawaliwa na ukoo wa aali sood nayo ndivyo mtume alifundisha?
Marhum mufti ibn baaz na mamabo makubwa alioyafanya hakua wakimjali kama sherehe zao za serikali ilhali ni mji mtukufu.
Acheni ushabiki kwanza!
waislam tumeshaistukia kwamba bakwata sio chombo cha kusimamia na kuendeleza uislam bali kiliundwa mahsusi kwa ajili ya kuwagawa waislam na maamuzi yote wanayapata ccm na serikalini, bakwata ni kichefu chefu.
Bakwata wanafata ratiba ya mgeni rasmi aliyepewa mwaliko ambaye ratiba ishapangwa kuhudhuria j5
kenya na uganda eid leo(j4)
duh.. Kiongozi hapangui ratiba, tukio kubwa na la kiimani wanapangua kisingizio eti milango ya mwezi imefungwa
<br />Hapo ndio utajuwa kwanini Waislaam tunataka kadhi na mahakama ya kadhi virudishwe, vilikuwepo vikaondolewa na nyerere kwa udini wake.