MAGOA KEULA
Member
- Nov 29, 2014
- 6
- 1
KGE & MGE NI kampuni inayo jishughulisha na uundaji na utengenezaji wa Power Inverter ,Back up machine, Mashine za kuangulishia vifaranga vya kuku zinazo tumia umeme na zile zitumiazo mafuta ya taa kwa gharama nafuu. Mashine zote zina uwezo tofauti kulingana na mahitaji ya mteja husika. Kampuni inawakaribisha wadau wote kujipatia bidhaa hizo kwa gharama nafuu. Popote ulipo MASHINE zetu zinaweza kukufikia. Kwa mawasiliano zaidi,waweza wasiliana nasi kupitia mawasiliano haya . Mtwara-0787150720/0756524013 DSM-0784413039 Email-mkeula@yahoo.com.
Wote mnakaribishwa
Wote mnakaribishwa