Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 54,380
- 101,574
Ana hofu ya kulogwa.unataka kumaanisha nini?
Ana hofu ya kulogwa.unataka kumaanisha nini?
Ulitegemea ukifika KFC uone jiko kama kwa mama mboga zote?Naomba msaada wa hili .
Ukienda mfano bar au mgahawa unasikia harufu za kupikwa za vyakula na pia asubuhi namapema unaonavitu vinaletwa soda , maji, na vyakula vibichi. Ili vipikwe .
Ila ukienda KFC HUONI CHOCHOTE KILICHOPIKWA WANATOA TU KWENYE TREI ZAO MNACHUKUA . ILA KUONA WANAVYOPIKWA HAKUNAGA .
nyie hamshtuki??
Msaada
Siwaoni wakipikaJiko lipo kwa nyuma ya counter. Wasiwasi nini, quality au ?
Eh ndio hivyooSaratani za baadae hizo watu wapige hela
Huku ukusikia mpeleekee fundi maiko supu na chapati tatu,
Huku muhudumu anaimba natesa aaah na ndiyo maana niko vzr iiih lengo anamchamba boss wake a mama wa chapati ..........
Huku mteja mie natega sikio nisikie kulkoni..... Misemo
Huku dada mwingine kakunja mdomo mithili ya kudaiwa Kodi ya mwezi akiosha vyombo huku muhudumu mwingine aliyevurugwa na mwenziwe akisimama mbele ya mteja huku mdomo kaukunja kama ngano iliyokandwa jana jioni
Cc Seran mamnyong'ode
Mf. Melia ,kibo palace,mount meru, point by sheraton zote unao a chakula kilipotokeaHapo unataka kuona mpishi ametoka jikoni jasho linamtiririka.
Amekaa kwenye kiti anakunywa Pepsi.
Unataka kuona mdada anaosha vyombo vichafu
Unataka kuona wamewekwa kwenye beseni kubwaa wanachanganya na viungo.
Hiyo migahawa umeanza kuisikia au kuijua tangu lini?Saratani za baadae hizo watu wapige hela
Unakula chakula kilichopikwa mwaka jana hahahaNaomba msaada wa hili .