Keys Hotel

Rich Pol

JF-Expert Member
Oct 11, 2013
7,857
2,000
Rafiki yangu aliniambia Keys Hotel ya hapa Dar wanachoma mbuzi safi sana, leo nikaamua kwenda kupata lunch hapo, Nimekuta kweli mbuzi ipo na watu huwa wanakuja kula kwa wingi.
Kilichonishangaza kuna dada poa mchana wote wanawinda, Unakula wanakuangalia mwanzo mwisho, halafu wanaomba soda, sijui kwanini uongozi wa hotel wana waacha wasumbue wateja.
 
samora10

JF-Expert Member
Jul 21, 2010
7,535
2,000
Mkuu ukiona wapo hapo ujue kuna wateja wao... sasa wewe leo tu na malalamiko yashaanza? ya ngoswe mwachie ngoswe...
 
MWANAKA

JF-Expert Member
Oct 4, 2013
4,289
2,000
Rafiki yangu aliniambia Keys Hotel ya hapa Dar wanachoma mbuzi safi sana, leo nikaamua kwenda kupata lunch hapo, Nimekuta kweli mbuzi ipo na watu huwa wanakuja kula kwa wingi.
Kilichonishangaza kuna dada poa mchana wote wanawinda, Unakula wanakuangalia mwanzo mwisho, halafu wanaomba soda, sijui kwanini uongozi wa hotel wana waacha wasumbue wateja.

tulishaga wazoea hao we kula msosi wako nenda zako

Halafu pia hebu acha uchoyo basi (hahahaaaaaaa......) hata soda ya mia sita unagoma kutoa?
 
Mwakalinga Bujo

JF-Expert Member
Oct 22, 2008
2,723

Imegundulika kuwa usiku kina dada siku hizi wanawatight sana waume zao so hao dada poa wamegundua mchezo wote unawezwa malizwa mchana. Hii ni strategic mpya ya kulinda soko na ku- maintain kipato other things remain constant.
 
Rich Pol

JF-Expert Member
Oct 11, 2013
7,857
2,000
ingekuwa usiku nisingelalamika jamani hata mchana? tuache ofisi tukavue nguo watu wanatafuta pesa?
 
Rich Pol

JF-Expert Member
Oct 11, 2013
7,857
2,000
tulishaga wazoea hao we kula msosi wako nenda zako

Halafu pia hebu acha uchoyo basi (hahahaaaaaaa......) hata soda ya mia sita unagoma kutoa?

Nilimpa sasa tatizo anaanza kukuvuta faragha, nilikuwa na mgeni wangu wa heshima nikasikia aibu, asije fikiria ndiyo issue zangu.

Body without head
 
Mrs Kharusy

JF-Expert Member
Sep 23, 2013
1,246
2,000
Umeacha ofisi umeenda ofisi tatizo liko wapi? .....sasa si ndio mwenzio yuko ofisini kwake hapo na wateja ndo nyinyi?
 
Rich Pol

JF-Expert Member
Oct 11, 2013
7,857
2,000
Umeacha ofisi umeenda ofisi tatizo liko wapi? .....sasa si ndio mwenzio yuko ofisini kwake hapo na wateja ndo nyinyi?

basi waruhusu tu kama ulaya hata south Africa watu wanalipa kwa credit card.

Body without head
 
bysange

JF-Expert Member
Jan 11, 2011
4,429
2,000
Kwavyovyote uongozi utakuwa unajua hizo dili hapo ni mambo ya ten persee,
lakini pia hao wadada hapo ndo panapo pelekea njia ya chooni isiote nyasi period.
 
Sista

JF-Expert Member
Sep 29, 2013
3,209
2,000
we imefata nyama choma ana kukagua biashara ya mwenzako? fwata yako bhana
 
Rich Pol

JF-Expert Member
Oct 11, 2013
7,857
2,000
we imefata nyama choma ana kukagua biashara ya mwenzako? fwata yako bhana

Nilifuata nyama kama mteja sasa kwann waniwinde nakula wananiangalia mwanzo mwisho, kwani nilienda kufanya show??!

Body without head
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom