Key player wa Al Ahly Kuikosa Mechi dhidi ya Simba

[emoji1][emoji1][emoji1] hii kweli imekua vita..ni misumari nini au wanatuchota akili tu tuamini
 
Mambo mengine ni kujifariji tu mchezaji anae kaa benchi Al Ahly utamlinganisha na mchezaji anae anza huku kwenye timu zetu?
 
Mkaa bench huwezi mlinganisha na mchezaji anaeanza kila game, si ndo akina Miqiuson waliokua wanakaa bench al ahly na kiwango kikaporomoka.
 
There you are, kama Miqiuson alikua panga pangua Simba kule kakosa number ndio ujue kua hakuna nafuu yoyote hata wakipanga kikosi B bado kazi tunayo kwenye bench la Al Ahly hakuna kina Kennedy wala Chasambi
 
Back
Top Bottom