Wa trumph huyo kama ni kweli amechaguliwaNi democrat au republicans
Wabunge walikuwa Wana extend posho zao kenge hao wanasiasa dunia nzima akili zao ni moja
Kuchapa kazi usiku hawana shida ilimradi tu uwahakikishie ongezeko la posho
Ni RepublicanNi democrat au republicans
Taja saa za jimboni kwako tu. Marekani haina muda mmoja, kuna majimbo muda huo ni saa 11 za jioni.Bunge lipo linaendelea hadi sasa hivi kwa saa za marekani ni saa saba usiku,
Chanzo CNN live tarehe 7/1/2023
Bunge lipo linaendelea hadi sasa hivi kwa saa za marekani ni saa saba usiku, Tanzania ni saa tatu asubuhi...
kwa saa za Washington, D.C.Taja saa za jimboni kwako tu. Marekani haina muda mmoja, kuna majimbo muda huo ni saa 11 za jioni.
Huku unasikia CCM mwenyekiti amepita bila kupingwa na kushinda kwa 100%Chanzo CNN live tarehe 7/1/2023
Bunge lipo linaendelea hadi sasa hivi kwa saa za marekani ni saa saba usiku, Tanzania ni saa tatu asubuh...
Posho zipi? Umeambiwa hakuna posho mpaka spika apatikane ndio shughuli zihesabike. Msikurupuke kucommentWabunge walikuwa Wana extend posho zao kenge hao wanasiasa dunia nzima akili zao ni moja
Ccm haiwezi kujifunza kamwe..Wabunge kadhaa wa chama chake yeye mwenyewe ndiyo wakimuwekea pingamizi zaidi ya mara 14. Kweli Wabunge wa CCM wana la kujifunza hapo, siyo kupitisha tu mtu kuwa spika kwa kufuata mkumbo.