Kevin McCaarthy kachaguliwa kuwa Spika wa Bunge la Congres

Wabunge walikuwa Wana extend posho zao kenge hao wanasiasa dunia nzima akili zao ni moja

Una uhakika?. Kule sio bongo. Kule uspika lazima upitishwe na wabunge wasiopungua 218. Sasa jama Kuna
wabunge wa chama chake walikuwa hawamtaki, ndio akwa anashindwa kupata hizo. Mchakato umechukua siku nne kwa vikao na kupiga kura Mara 14. Mara ya kumi 15 kachaguliwa.
 
Back
Top Bottom