Usijitoe akili dada mdogo hivi nafasi ya mwenyekiti wa CCM,hata iliyokuwa Tanu wenyeviti waligombea na nani leo hii Mangula yupo channel ten analalamika sana kuhusu waasi wa CCM wanaotaka kupora madaraka sasa demokrasia gani ya CCM unayoiota
Jana kamati kuu imesimamishwa kuongelea kumfukuza uanachama Zitto, leo uzi uleule mpaka Jumatatu. Mpaka sasa mshindi ni Zitto.
Huyo Tundu mpaka Rais kamponda kwa kubabia kwenye sheria tena mbele ya halaiki ya watu na mbele ya watazamaji wa TV mamilioni waliopo ndani na nje ya Tanzania wamejionea alivyopigwa madongo live. Na kimya, mpaka leo hajajibu, unajuwa kwanini? upigwe madongo na Mwenyekiti wa chama unachokipinga halafu ukae kimya? unajuwa kwanini?
Unaposema aodoke hichi chama akaanzishe chake kwani hapo ipo sio pake ni pa mbowe au mtei?Nachoona ni ndoto ya huyu kijana kufifia ghafla kama ya ile ya Mrema Lyatonga, namshauri Zito ni heri angeondoka mwenyewe kuliko kusubiri Ubunge wa mahakama angejijengea sifa, Kama alipokelewa na wafuasi wake kwa wingi iweje leo anaogopa kuondoka akanzishe chama chake au aende, NCCR kwa wenziye, Hafu nadhani wanasiasa vijana wanalo la kujifunza hapa.
Nyani wapo wengi hapa na wote hawaoni, au hawajitazami huko unakosema! Wewe mwenyewe unasukumwa na ushabiki! Ukitaka kujitambua soma comment zako kule 'mahakamani!'
Kwa Tanzania hizi ndo kesi zinazopewa kipaumbele.siajabu kuna msukumo wa watu wazito nje ya CDM na kumtumia ZZK kuyumbisha chama.katika hili usitegemee kuwa kesi hii itatupwa kirahisi.
Wewe dada umekorogwa. Ulitaks TL, Wakili msomi akurupuke na kuanza kubishana na Layman JK pale uwanjani? Kwa akili yako, Msomi, Mwanasheria, na Wakili abishane na Maamuma wa Sheria, na Laymaman kuhusu sheria na utaalamu wa fani ya sheria kwenye hadhira ya Wasomi wenziyr ungeona ni sifa kwa Msomi?
Tamaa ya madaraka, fedha na utukufu ndiyo source. Ndiyo sifa za mwasiasa. Wote Mbowe, Slaa, ZZK pamoja na wewe ndicho mnachopiganiaSiasa imeingiliwa na tamaa ya utajiri sio kutumikia watu. Uwezo wa kizazi cha sasa kuwa wavumilivu unapungua na kuondoa umakini. Hakuna kiongozi malaika na huwezi kukubaliana na kila mtu, ZZK, Msando, kinachowasumbua ni tamaa tu ya madaraka fedha, na utukufu.
Jana kamati kuu imesimamishwa kuongelea kumfukuza uanachama Zitto, leo uzi uleule mpaka Jumatatu. Mpaka sasa mshindi ni Zitto.
Huyo Tundu mpaka Rais kamponda kwa kubabia kwenye sheria tena mbele ya halaiki ya watu na mbele ya watazamaji wa TV mamilioni waliopo ndani na nje ya Tanzania wamejionea alivyopigwa madongo live. Na kimya, mpaka leo hajajibu, unajuwa kwanini? upigwe madongo na Mwenyekiti wa chama unachokipinga halafu ukae kimya? unajuwa kwanini?
Mpaka hapa ilipo, Zitto kuzuwia tu leo Kamati Kuu isijadili kumfukuza uanachama ni ushindi mkubwa sana kwa Zitto. No matter Hakimu atoe uamuzi wowote ule mwingine, hata wa kuruhusu Kamati imjadili kumfukuza uanachama still ni ushindi kwa Zitto.
Unaposema aodoke hichi chama akaanzishe chake kwani hapo ipo sio pake ni pa mbowe au mtei?
Ataweza? si angekanusha leo? na nnakwambia hatoweza, si leo si kesho si wiki ijayo, kwani alifanya madudu walipokuwa Ikulu, akifanya su, utatolewa mkanda alivyoaibishwa Ikulu, na anajuwa hilo. Huoni alivyokuwa anajichekesha, hovyooo.
ww huwezi kuwa cdm zaidi ya zzk na usijinasibu ju kuijua historia ya nchii hii mm ninauhakika hata historia tu ya familia yako huijui zaidi unacho jua ni chuki na visasi onlyChama ni mali ya wanachama, we huoni hata yeye kaenda mahakamani akazuie asifukuzwe kingekuwa cha kwake si angegoma hata kama angefukuzwa, Hafu nikueleze, CCM ilikuwa ya Nyerere kama unavyodai CDM ni ya Mtei tatizo lenu mnajifanya vijana wa digitali wakati historia ya nchi hii huijui
msomi gani anakataa kujadiliana kwenye vikao? na yeye zitto kama anajiamiani si angeacha vikao viamue! na wewe una mawazo ya kichovu tu, nani anamchukia zitto na kwa lipi?nyie ndo mbulula kweli, hajakataa vikao visifanyike ila amekataa swala lake kujadiliwa na kamati ambayo maamzi yake ya kumvua uanachama aliyakatia rufaa
kwa hiyo cc waamue kwanza rufaa yake ndipo kamati kuu iendelee na utaratibu wake. nashangaa wanaojiita wasomi mnafuata mkumbo hata kama mtu mnamchukia ni vzr mkawa makini na hoja dhaifu kama hizi.
WW MPUUZI SANA IVI UMEONA HIYO KAULI YA MPUUZI MWENZIO KAGAME NI YAMAANA SANA NANI ALIE MUABISHA MWEZIE KATI YA JK NA KAGAME? NENDA RUANDA,UGANDA NA DRC CONGO UWASIKIE WANAVYOMZUNGUMZIA JK JINSI ALIVYO WATIA ADABU WANYARUANDA(kagame) KWA KUWATWANGA M23 NA KUWARUDISHA KWAO WANYARUANDA WAHAMIAJI HARAMkama jk alivyoaibishwa na kagame alivyomwambia ana tabia za kujipendekeza kwa wazungu!
na wewe unaweweseka kama mwanamke aliyepewa talaka bila kutarajia! si wewe ndiye uliyekuwa unabwabwaja humu kuwa chadema hawawezi kumfukuza zitto? madrasa zinawaharibu akili, zitto kwa sasa ameisha: he is like a rotten potatoe! yeye si ni jembe lenu bana mwambie binamu yako mheshimiwa dr rais khalfani mrisho jakaya kikwete ampe uwaziri wa fedha si dr mgimwa kavuta box!
Ataweza? si angekanusha leo? na nnakwambia hatoweza, si leo si kesho si wiki ijayo, kwani alifanya madudu walipokuwa Ikulu, akifanya su, utatolewa mkanda alivyoaibishwa Ikulu, na anajuwa hilo. Huoni alivyokuwa anajichekesha, hovyooo.