Kesi ya wapambanaji yapigwa kalenda tena | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kesi ya wapambanaji yapigwa kalenda tena

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwan mpambanaji, Feb 22, 2011.

 1. M

  Mwan mpambanaji JF-Expert Member

  #1
  Feb 22, 2011
  Joined: Apr 3, 2008
  Messages: 468
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Kesi inayowakabili wapambanaji wa chadema arusha imepigwa kalenda hadi tarehe 25 march.mahakamani kulikuwa na umati mkubwa wa wananch
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Feb 22, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  fOOLS THEY ARE!
  Wanajikanyaga hawa, washastuka hakuna kesi hapo!
   
 3. NewDawnTz

  NewDawnTz JF-Expert Member

  #3
  Feb 22, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 1,675
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0

  Yes PJ i agree...hapo hakuna kesi zaidi tu ni upuuzi wa funika kombe
   
 4. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #4
  Feb 22, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,134
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  Kwa ile kesi iliyokua inawahusu viongozi wa Chadema kwa kufanya mikutano bila kibali kama wenye dola wanavyodai leo hii saa hii wafuasi wa Chadema wakiongozwa na Mbuge wa jiji la Arusha Bwana GodBless Lema wakiwa wanatokea mahakamni kuelekea kwenye office ya mbunge huyo muda si mrefu askari wamewatawanya wafuasi hao kwa mabomu mawili ya kutoa machozi na kuleta taharuki kwa wakazi wa jiji la Arusha pamoja na watalii waliokua wakifanya shoping zao hususani na kununua safari za kwenda porini. Nitaendelea kuwaleteeni taarifa zitakazojiri!
   
 5. Democrasia

  Democrasia Member

  #5
  Feb 22, 2011
  Joined: Feb 1, 2008
  Messages: 80
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Watabana wataachia kwa nguvu ya uma, na wasitegemee tena sanduku la kura
   
 6. Gsana

  Gsana JF-Expert Member

  #6
  Feb 22, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 4,387
  Likes Received: 348
  Trophy Points: 180
  Mi huwa napitia ile Penal code waliyoirejea wakat wa mashtaka nashindwa kupata kesi iko wapi! Najua mahakimu wana uweledi wa kutosha baadae wataiondoa mahakamani.
   
 7. Bill

  Bill JF-Expert Member

  #7
  Feb 22, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 4,171
  Likes Received: 1,256
  Trophy Points: 280
  Hawa jamaa wajinga sana, wanasababisha taharuki zisizo na msingi, kwa mtizamo wangu wangeweza kumshughulikia kiongozi wa hiyo move ya kuandamana.
   
 8. Click_and_go

  Click_and_go JF-Expert Member

  #8
  Feb 22, 2011
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 451
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  .....hapo hakuna cha kesi wala nini,,,,,wanasogeza siku tu ili wafunike mambo!!!
   
 9. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #9
  Feb 22, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Hali ni shwari saizi, hakuna mabomu tena.
  Hoja yangu ni kwa nini kesi kila siku inaahirishwa? Ushahidi bado tu unakusanywa? Kweli nimeanza kuamini kuwa kesi ya umeya ingechukua miaka hata mitatu!
   
 10. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #10
  Feb 22, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,767
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  wanashindwa nini kuimaliza hiyo kesi au ndo mapaka tuwaite watu wa nje waje kutumalizia!
   
 11. A

  AlamaZA NYAKATI JF-Expert Member

  #11
  Feb 22, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 274
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wanataka isikilizwe baada ya wafuasi wake kupungua siku ya mahakama, maana naona bado wanakumbuka moto waliowashiwa siku ya tarehe 05/01/2011, naomba kila siku ya kesi ya makamanda tujazane hivo hivo ili waahirishe kesi mpaka miaka mitano
   
 12. g

  gidytitus JF-Expert Member

  #12
  Feb 22, 2011
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 332
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  OOOOH! kumbe hilo ndo wanataka, sasa kwa taarifa yao hatutaacha kuhudhuria coz kesi iyo inatuhusu wote, siku ile tulikuwepo wote, so wasdhinanie kuwa kuahirishwa kwa kesi ndo kutupunguza, tena wangefahamu kuwa tulikuwa wachache wangetoa hukumu leo leo coz kipindi kijacho tutakuwa wengi zaidi. CCM hamna jipya, imekula kwenu!!!!!!!!!!111
   
Loading...