Kesi ya viongozi wa chadema arusha yapigwa kalenda

hata mawazo yako ni "crap" acha tabia za cdm ugomvi ugomvi tu ndo sera kubwa kwenu. siokweli kuwa wanarusha walikwenda kwa wingi , tuliowengi tumebaki na shughuli zetu muhimu, walioendaniwasio na ajira tu ushabiki. Je lile tamko la mbowe luningani kuwa serikali waongo walikufa watu watano na si watatu imekuaje mbona inanyamaziwa? amesutika mtu mzima.
unauhakiaka hapo kwenye nyekundu, acha uongo wa kijinga......
 
Back
Top Bottom