Kesi ya viongozi wa chadema arusha yapigwa kalenda

Mwan mpambanaji

JF-Expert Member
Apr 3, 2008
482
131
Ile kesi ya viongozi wa chadema pamoja na wanachama kukusanyika kinyume cha sheria,imepigwa kalenda hadi tarehe 22.2.2011"watu walikuwa wengi sana kuonyesha soliidarity forever,,,
 
Kuna tetesi kwamba Mahakama inataka iwafanyie kitu mbaya akina slaa, hivyo inaona ni vizuri wakipeleka mbele siku ya hukumu watu wakiwa wamesahau machungu yaliyotokea Arusha. Kwa mfano kwasasa ni vigumu sana mahakama kumpeleka Slaa miezi sita jela. Lakini hapo baadaye watu wakiwa wamepoa jazba inawezekana kufanya hivyo
 
i dont think watu wa arachuga ''mimi included'' tunaweza kupoa ndugu yangu... We love our chadema leaders and we will be with them pamoja to the point of death,
 
Kuna tetesi kwamba Mahakama inataka iwafanyie kitu mbaya akina slaa, hivyo inaona ni vizuri wakipeleka mbele siku ya hukumu watu wakiwa wamesahau machungu yaliyotokea Arusha. Kwa mfano kwasasa ni vigumu sana mahakama kumpeleka Slaa miezi sita jela. Lakini hapo baadaye watu wakiwa wamepoa jazba inawezekana kufanya hivyo

Ipo siku tu!!
 
"... Nataka kumwambia kikwete kama yeye ni msahaulifu, sisi wengine akili zetu zinanasa kama sumaku...watanzania sio wasahaulifu kama anavyofikiria....". Dr slaa 2011,jan 5. Hata wakitoa hukumu baada ya miaka 5,wana arusha wanakumbuka tu,na mahakaman siku ya kesi halaiki itakuwepo
 
Naona bado wanakusanya ushahidi, maana ndiyo kauli zao! Au taarifa za kiintelejensia bado hazijafikia ndiyo maana mahakama hawajui wahukumu nini, licha ya kuwa sheria zipo wazi@
 
Ile kesi ya viongozi wa chadema pamoja na wanachama kukusanyika kinyume cha sheria,imepigwa kalenda hadi tarehe 22.2.2011"watu walikuwa wengi sana kuonyesha soliidarity forever,,,

Hakuna kesi hapo...

ni porojo tupu na kutafutiana visanga visivyokuwa na msingi......
 
Chadema vipi tena wamekwenda mahakamani. Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe alisema Chadema wameishatangaza kutokwenda mahakamani kuhudhuria kesi hiyo kama moja ya sharti la kumaliza mgogoro wa Arusha, wameitaka Serikali kufuta kesi hiyo haraka ni moja kati ya masharti saba yaliyotolewa na Chadema.. wamekwenda mahakamani kufanyaje?
 
Naona bado wanakusanya ushahidi, maana ndiyo kauli zao! Au taarifa za kiintelejensia bado hazijafikia ndiyo maana mahakama hawajui wahukumu nini, licha ya kuwa sheria zipo wazi@

Itakuwa ni mbinu zao kutengeneza ushahidi wa kuchakachua.
 
Chadema vipi tena wamekwenda mahakamani. Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe alisema Chadema wameishatangaza kutokwenda mahakamani kuhudhuria kesi hiyo kama moja ya sharti la kumaliza mgogoro wa Arusha, wameitaka Serikali kufuta kesi hiyo haraka ni moja kati ya masharti saba yaliyotolewa na Chadema.. wamekwenda mahakamani kufanyaje?

mwenyekiti wa chama chetu hakutamka hayo, watu tu walileta huo uzushi humu jf, lakini siku ya mazishi ya mashujaa wa arusha nilikuwepo mwanzo hadi mwisho na mwenyekiti wetu mheshimiwa freeman mbowe hakutamka hayo
 
Umeambiwa kuhusu kesi hajaongelea watu kwenda mahakamani...unachotakiwa ni kuuliza je walienda mahakamani usi conclude mwenyewe...ushauri tu
 
chadema walisema serikali ifute kesi bila masharti,na sio kwamba hawataenda,,,habari za intelijensia ni kwamba serikali kupitia mahakama wameitaja hii kesi mapema sana saa tatu asubuhi maana wana wa arusha walikuwa wajae kwenye viwanja vya mahakama,hata hivyo watu walikuwa wengi,,,nguvu ya umma daima
 
Chadema pia wamalizie haraka ile video yetu halafu isambazwe iwezekanavyo!!

ni vizuri kuweza kuzitambua FURSA na VIKWAZO na kuweza kuvitumia vyoote kwa manufaa ya chadema
 
Umeambiwa kuhusu kesi hajaongelea watu kwenda mahakamani...unachotakiwa ni kuuliza je walienda mahakamani usi conclude mwenyewe...ushauri tu

Mimi ningependa kujua: Je, Viongozi na wanachama wa CHADEMA wamehudhuria mahakamani?? Maana katika Tamko la Mhe Mbowe la tarehe 12 Januari, eneo la 4, anasema:

"Mashtaka ya uongo ya jinai yaliyofunguliwa dhidi ya viongozi wa ngazi zote wa CHADEMA, wanachama, wafuasi na wananchi wengine wote waliokumbwa na kumba kumba ya Jeshi la Polisi la Tanzania yafutwe bila masharti yoyote kwa sababu maandamano na mkutano wa hadhara uliozuiliwa yalikuwa halali kwa mujibu wa sheria husika za nchi yetu. Tunasisitiza katika jambo hili kwamba viongozi, wanachama na wafuasi wetu wote waliokamatwa na kufunguliwa mashtaka haya hawatahudhuria mahakamani tena kuhusiana kesi iliyofunguliwa dhidi yao hata kama kwa kufanya hivyo kutafanya wakamatwe na kurudishwa tena gerezani;"

Kama wameenda, tueleweje?????
 
mwenyekiti wa chama chetu hakutamka hayo, watu tu walileta huo uzushi humu jf, lakini siku ya mazishi ya mashujaa wa arusha nilikuwepo mwanzo hadi mwisho na mwenyekiti wetu mheshimiwa freeman mbowe hakutamka hayo

Nafikiri tungependa kujua kama walikwenda mahakamani au la. Kuhusu Mh. Mbowe kutamka kuwa hawatakwenda hilo halina ubishi alitamka, na hii hapa ndiyo nukuu ktoka kwenye tamko:

  • Mashtaka ya uongo ya jinai yaliyofunguliwa dhidi ya viongozi wa ngazi zote wa CHADEMA, wanachama, wafuasi na wananchi wengine wote waliokumbwa na kumba kumba ya Jeshi la Polisi la Tanzania yafutwe bila masharti yoyote kwa sababu maandamano na mkutano wa hadhara uliozuiliwa yalikuwa halali kwa mujibu wa sheria husika za nchi yetu. Tunasisitiza katika jambo hili kwamba viongozi, wanachama na wafuasi wetu wote waliokamatwa na kufunguliwa mashtaka haya hawatahudhuria mahakamani tena kuhusiana na kesi iliyofunguliwa dhidi yao hata kama kwa kufanya hivyo kutafanya wakamatwe na kurudishwa tena gerezani;
 
Ile kesi ya viongozi wa chadema pamoja na wanachama kukusanyika kinyume cha sheria,imepigwa kalenda hadi tarehe 22.2.2011"watu walikuwa wengi sana kuonyesha soliidarity forever,,,
Ni fursa zuri tena uku Dodoma kwa kuhairisha iyo kesi kwani kesho uku Dodoma kutakuwa na maandamano 2kiwa na Viongozi wa juu wa Chadema ya kupinga mauaji ya Arusha, na kuhamasisha watu wa dodoma kuwa na moyo wa uzalendo kupigania taifa dhidi ya Dowans na gharama za umeme na kuwatoa mawazo mgando kuw ccm ndio chama pekee.
ndo 2nasubiri tamko la polisi kutoa kibali iyo kesho.
PEOPLE's POWER
VIVA CDM
 
Hata wakiiahirisha vipi, ndio wanatupa nafasi hata sisi ambao leo tulishindwa kwenda huko...Arusha jamani imeshabadilika, siasa ni maisha ya kila siku hapa, SI SOKONI, maofisini, sehemu za ibada, mashambani na kila wanapokutanika wawili wa3!...
Serikali kama wana akili japo za common sense, basi waombe suala hili lizungumzwe nje ya mahakama na bila masharti yoyote ya upuuzi!
Vinginevyo, cdm inasubiri kwa hamu sana kesi hii, maana imepangwa ikapangika!
 
Mimi ningependa kujua: Je, Viongozi na wanachama wa CHADEMA wamehudhuria mahakamani?? Maana katika Tamko la Mhe Mbowe la tarehe 12 Januari, eneo la 4, anasema:

"Mashtaka ya uongo ya jinai yaliyofunguliwa dhidi ya viongozi wa ngazi zote wa CHADEMA, wanachama, wafuasi na wananchi wengine wote waliokumbwa na kumba kumba ya Jeshi la Polisi la Tanzania yafutwe bila masharti yoyote kwa sababu maandamano na mkutano wa hadhara uliozuiliwa yalikuwa halali kwa mujibu wa sheria husika za nchi yetu. Tunasisitiza katika jambo hili kwamba viongozi, wanachama na wafuasi wetu wote waliokamatwa na kufunguliwa mashtaka haya hawatahudhuria mahakamani tena kuhusiana kesi iliyofunguliwa dhidi yao hata kama kwa kufanya hivyo kutafanya wakamatwe na kurudishwa tena gerezani;"

Kama wameenda, tueleweje?????

kwan we unatakaje??? crap!!
 
Back
Top Bottom