Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 4,393
- 14,500
Jopo la Mawakili 31 wanaomtetea Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu wakitoka katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu baada ya kuahirishwa kwa kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti huyo.
Pia soma > LIVE - Kisutu: Kesi ya Tundu Lissu leo itaendeshwa kwa njia ya Mtandao. Kila Mtu huru kusikiliza
Kesi ya uhaini inayomkabili Lissu imeahirishwa mbele ya Hakimu Mkazi Mfawidhi, Franko Kiswaga hadi May 6, 2025 ambapo amesema itasikilizwa kwa njia ya mtandao.
Hapo awali mtuhumiwa Tundu Lissu alikataa kesi yake kusikilizwa kwa njia ya mtandao na badala yake alitaka aende akasikilize kesi yake mahakamani kutokana na ukubwa wa makosa yanayomkabili na nafasi yake kama Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani nchini.
Soma pia: DSM - Tundu Lissu amegoma kesi yake kuendeshwa kwa njia ya Mtandao. Kesi yaendelea Mahakamani