Kesi ya uchaguzi Rombo, vigogo Halmashauri mtegoni

JOHNGERVAS

JF-Expert Member
Mar 22, 2016
1,008
1,675
Wakati kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi jimbo la Rombo ikiendelea; Habari za uhakika ni kwamba, watumishi watatu wa Halmashauri ya wilaya ya Rombo wanashikiliwa na polisi tangu jana tarehe 12/4/2016 kwa tuhuma za kuiba jalada la uchaguzi. Wizi huo ulifanyika jana jioni kwa dhamira ya kutaka kumnufaisha mleta maombi (Petitioner) aliekuwa mgombea wa CCCM ili kumsaidia kushinda kirahisi. Watumishi hao ni Frida kutoka kitengo cha tassaf na wengine ni secretary na mhudumu ktk ofisi ya afisa utumishi.

SOURCE JOSEPH SELASIN FACEBOOK PAGE
 
Back
Top Bottom