GHIBUU
JF-Expert Member
- Jan 13, 2011
- 4,432
- 3,011
Wananchi wa zanzibar tunataka kujua case ya viongozi wa uwamsho ambayo sasa hivi ni zaidi ya miaka 2 bila ya kuwa na ushahidi wowote.
Mahakama imekuwa ikipiga dane dane case ya viongozi wetu wa dini, hatujui lini upande wa mashtaka watapeleka huo ushahidi.
Kama serikali hamna ushahidi, tunataka viongozi wetu waachiwe mara moja,na mahakama ifute case yao, na walipwe fidia zao.
Jumuiya za kimataifa nazo Tanzania za kupigania haki za binadamu naona hazifanyi kazi stahiki, kwa sababu tumeshindwa kuona hatua zao za kisheria wanazo chukua.
Leo hii viongozi hawa zaidi ya 15 wako mahabusu, wakiwa wameacha families zao na watoto kama yatima, viongozi hawa wameshindwa kupatiwa dhamana.
Tunataka mahakama ifanye kazi yake bila ya upendeleo na kufuta case za viongozi hawa mara moja.
Tunatoa mwezi mmoja kujua hatma ya viongozi wetu.
Wazalendo zanzibar
Shukran