Kesi ya Tundu Lissu kule Tarime vipi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kesi ya Tundu Lissu kule Tarime vipi?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Lunyungu, Sep 30, 2012.

 1. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #1
  Sep 30, 2012
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Wakubwa wote shalom kwa mpigo.Kuna siku mtu makini sana kule Bungeni ndugu Lissu alichaniwa nguo na kutupwa korokoroni kule Tarime akiwa anatenda haki.Alifikishwa Mahakamani na kesi ikawa inaunguruma je iliisha je ile kesi jamani kuna mwenye taarifa?
   
 2. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #2
  Sep 30, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Bado iko kwenye mention mkuu!
   
 3. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #3
  Sep 30, 2012
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Ushahidi haupo au inakuwaje?Au mahakama nayo inaleta siasa ?Si alikamatwa kwenye tukio siku zile sasa why kutajwa tu?
   
 4. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #4
  Sep 30, 2012
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Kesi za kisiasa tu hizo zinamalizika kiaina!!!
   
 5. D

  Diga Diga Senior Member

  #5
  Oct 1, 2012
  Joined: Sep 3, 2012
  Messages: 187
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Magamba wamezidiwa kesi kiasi kwamba wamechoka na hawana time tena na hao wapiganaji. Wee wapoteze viti vya ubunge, wanachama wao wanazolewa na M4C huku maisha bora hayaonekani kwa watu zaidi ya milioni 40 (kasoro kwao tu), bado wawe na muda wa kesi za Lissu? Waacheni jamani wapumue kwa muda huu kidogo uliobakia ili ikifika 2015 wakapumzike kwa amani baada ya kutuibia vya kutosha!
   
 6. USTAADHI

  USTAADHI JF-Expert Member

  #6
  Oct 1, 2012
  Joined: May 10, 2011
  Messages: 1,518
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  kesi ile inasemekana polisi ndio waliokuwa tena walalamikaji pamoja na wao kuwa waliuwa watu na pamoja na kuwa wao walimdhalilisha mbunge sasa mahakama ilitupilia mbali kesi hiyo mapema saana hata hearing haikwenda
   
Loading...