Just Pray
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,142
- 4,779
Mawakili wa serikali na wale wa upande wa utetezi wakijiandaa kwa ajili ya kusikiliza kesi ya rufaa ya Nyundo na wenzake ambao wanapinga adhabu ya kifungo cha maisha gerezani walichohukumiwa Septemba 30, 2024 baada ya kukutwa na hatia ya kumbaka kwa kikundi na kumwingilia kinyume cha maumbile binti mkazi wa Yombo Dovya mkoani Dar es Salaam.
Kesi hiyo inaendelea leo Jumanne Juni 3, 2025 katika Mahakama Kuu Dodoma mbele ya Jaji Amir Mruma.
Kesi hiyo inaendelea leo Jumanne Juni 3, 2025 katika Mahakama Kuu Dodoma mbele ya Jaji Amir Mruma.