Kesi ya Ridhiwan against Dr. Slaa na Mtikila

Magwanda wakikosa la kusema huwa wanatia huruma. Kwanza kajibuni kesi ya madiwani, halafu wakili wenu wa Arusha ndio kama tulivyosikia.
Jibu hoja kama una maslah na huyo ****** jr hela za vituo vya kuuzia mafuta (lake oil),kusafrisha mafuta nchi jirani (congo na zambia),masemi trailer 100,yard za magari n.k kazipataje huyu mwendawazimu kwa muda wa miaka michache hyo? kwa kuwa unaingilia suala lisilokuhusu tuambie bas we fox (mbweha)
 
Jamani siku nyingine someni magazeti ya Kiingereza. Mbona Ridhuani alishafungua kesi mahakamani ya madai dhidi ya Dr. Slaa na Rev. Mtikila kama wiki tatu zimepita sasa. The Citizen iliandika hii habari.

Kesi imefikia wapi? Nafikiri mtoa mada aliligusia hilo la kufunguliwa kesi. Kapewa ile billioni aliyoomba au anawalipa wazee kwa kuwasumbua? Kwani magazeti mengine hayapo mbona hawaandiki maendeleo ya kesi au mkuu wa kaya anaifungia chumbani?
 
Magwanda wakikosa la kusema huwa wanatia huruma. Kwanza kajibuni kesi ya madiwani, halafu wakili wenu wa Arusha ndio kama tulivyosikia.
faiza angalia dada yangu kuwa wa bei rahisi namna hiyo ni hatari kwa mwqanamke haswa mwenye ndoa.
ccm imeumiza wengi,pale kwenye chama manungayembe ni mengi sijui na wewe unatamani life style yao?kwani naona unajipendekeza sana kwao.
magamba hoyeee.
 
jamani tumechoka maandamano, tufanye kazi kwa maendeleo ya taifa letu changa. Kila siku kuandamana tu, halafu nchi ikidumaa mnaanza kuitupia lawama CCM

Dada huna kosa, you are Junior seem to me sio kwamba kwenye jamvi hili nafikiri hata kimawazo, go to school, learn and gain your self confidence
 
Ridhiwan haogopi mtu. Anachofanya ni kuvuta muda kwasababu ana vitu vingi anataka kulipua. Kama hamna taarifa ulizeni.

Huyu mtoto lazima aogope kwani mali zake ni za magumashi hivyo ajue wenzie hawajalala isipokuwa wanakusanya ushahidi watakaotumia muda ukifika atakaposimama kizimbani kujibu mashitaka ya kuiibia nchi!!
 
jamani tumechoka maandamano, tufanye kazi kwa maendeleo ya taifa letu changa. Kila siku kuandamana tu, halafu nchi ikidumaa mnaanza kuitupia lawama CCM
Umechoka kufikiri, utafanya nini kama unatembea kwa mguu na gari umeacha nyumbani? nyie ndo mmetuwekea Rais feki, maendeleo yatatoka wapi? tunataabika kwa ajili ya uwezo wenu mdogo wa kuona mbali!
 
Magwanda wakikosa la kusema huwa wanatia huruma. Kwanza kajibuni kesi ya madiwani, halafu wakili wenu wa Arusha ndio kama tulivyosikia.

yawezekana hujui advocate aliyekamatwa ni GAMBA na aliwasaidia sana wakati wa uchaguzi lakini waaapi haikusaidia kitu
 
kesi ya mwana wa mfalme against watetea haki za wanyonge katika nchi hii. hii kesi naisubiri kwa hamu sana.
 
Jamani siku nyingine someni magazeti ya Kiingereza. Mbona Ridhuani alishafungua kesi mahakamani ya madai dhidi ya Dr. Slaa na Rev. Mtikila kama wiki tatu zimepita sasa. The Citizen iliandika hii habari.[/QUOT]

Nani kasema hajui? Uzi unaongelea maendeleo ya kesi,au ulitaka uongelee usomaji wako wa magazeti ya 'kiingeleza'
 
jamani tumechoka maandamano, tufanye kazi kwa maendeleo ya taifa letu changa. Kila siku kuandamana tu, halafu nchi ikidumaa mnaanza kuitupia lawama CCM

Hiv nyie ni watu wa kawaida au Majin? Haiwekazi mtanzania wa kawaida usione matatzo tuliyonayo,ukiniakikishia kuwa wewe ni binadam na sio jin, nitaainisha matatzo chungu nzima ya serikali LEGELEGE.
 
Umechoka kufikiri, utafanya nini kama unatembea kwa mguu na gari umeacha nyumbani? nyie ndo mmetuwekea Rais feki, maendeleo yatatoka wapi? tunataabika kwa ajili ya uwezo wenu mdogo wa kuona mbali!

Nikupe hongera huyu mwadada anajiita mpenzy, wengi wanamatatizo ya kufikiri na ndilo tatizo ambalo tunatakiwa kuwarudisha wakae majumbani kuchunga nyumba. wanapenda majina mazuri huku akili zao hazina sura za kuvutia. Ukweli ni kwamba nchi hii inahitajika sana msukumo wa hali ya juu, ule woga wa kuvunja amani, huo ulikuwa wakati ule huu ndio wakati wakutaka maisha bora, na sio maisha bora kwa kila kiongozi bali ni kwa wananchi, yaani Watz wote.
 
wakina dada wengine wote wameamka ww unabakia kudanganyika na tabasamu hata 2kifanya kazi vp kwa ccm hii maendeleo hakuna jasho litutoke wazalendo kutajirika atajirike ridhi 1
 
Back
Top Bottom