Embu wakuu tuiendeshe kesi hapa kivyetu, naamini kuna wapenzi wa sheria majambazi yaani tupo hata sisi tunaopenda kuhudhuria mahakamani kusomea ubishi na hoja.
Hakimu anza kutusomea kosa au Mheshimiwa Lisu anashitakiwa kwa kosa gani.
Mimi ni msikilizaji au nimhudhutiaji japo polisi walijaribu kutuzuia.
( Kupata picha kila mmoja ajitenge aiza uwe upande 'wanaoshaki au wanaotetea' ).