favourismyname
JF-Expert Member
- Jul 17, 2022
- 403
- 361
Sio rahisi km unavyodhaniHapo noma, hawa watoto wa Mengi wasipokuwa makini watakuja kuomba ajira kwa Jack
Acha tusubiri
Sio rahisi km unavyodhaniHapo noma, hawa watoto wa Mengi wasipokuwa makini watakuja kuomba ajira kwa Jack
Pale mja anapolazimisha kuuaminisha umma yakuwa eti 'Wamachame' ni 'miungu-watu' hivyo hakuna binadamu anayeweza kuwashinda au kuwakabili kwa lolote.Hataweza wamachame wewe
Tupo hapa jmn
Ngoja tuendelee kushuhudia