Ruling ya Mbowe ilipotolewa kuwa ana kesi ya kunibu wafuasi wake walilalamika kuwa .mahakama inatumiwa na haijatenda haki. Hicho ndicho ninachohoji kwanini kwa Mbowe mahakama iwe imetumiwa lakini kwa Musiba judgemeñt iwe imetenda haki? Sio unafiki hio?Kwenye mahakama Kuna tofauti ya judgment na Rulling. Judgment ni baada
Kwanza kesi ya Musiba imetolewa Judgment yani maamuzi ya mwisho baada ya ushahidi wote kusikilizwa. Kwa maana kesi ya Musiba ilisikilizwa yote na ushahidi kuchambuliwa na hukumu kutolewa.
Pili kesi ya Mbowe imetolewa Rulling, maana yake maamuzi madogo ndani ya kesi. Kwenye kesi ya Mbowe mahakama haikutia hatiani bali ilitoa rulling ya case to answer , maana yake maamuzi madogo ndani ya kesi ya jinai ya kumruhusu Mshitakiwa kujibu tuhuma dhidi yake na kubatilisha ushahidi uliotolewa.
