Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 2,085
- 3,727
Kweli mapenzi ya BINTI KIZIWI HAYA SIJUI KAMA MIIMILI HAIJAONGEA KWA AJILI YA SPECIFICATION ZA MIILI YA WATU LAANA NUKSIPolice ni chambo cha usalama na kudai taarifa za mtuhumiwa yeyote au mtu anayeprlrzwa nisawa kabisa ...achani ushabiki wa kisiasa
Naona kila mtu anazungumzia usiri kuhusu kutoa taarifa za wateja. Hili jambo sijaelewa, mfano ikitokea kuna jambo lolote baya linafanywa na mteja, kisheria imekaaje? Tigo inapaswa kumlinda mteja mmoja hata kama jambo lolote hatarishi linalenga wateja wengi?...
Mmmh
Duuuuu!!! Acha tuoneKwa mwenendo wa kesi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA freeman Mbowe na ushahidi na mashahidi wanaojitokeza kuna vilio vitakuja baadae.
Shahidi namba 05 wa leo ama kwa kujua ama kutokujua au kwa kushinikizwa unaona kabisa ameitumbukiza shimoni TIGO na MIC.
Huyu Shahidi wa TIgo anaonesha kabisa kuwa hajui ama alifanya kwa kufuata maelekezo. Kuna sehemu anasema wao mtu yeyote akipata barua toka Polisi kuhusu kuchunguzwa kwa mtu hawaangalii chochote.
Hapa anabanwa na sheria ya faragha. Mbowe anapiga hela hapa. Hata kama Mbowe atafungwa kwa case atakayofungua dhidi ya TIGO ana uhakika wa familia yake kuishi kwa raha.
TIGO wamejiingiza katika mgogoro mkubwa na watumiaji wengine. Wasijione wapo bora waulize gazeti kongwe duniani lilivyofutika katika uso wa dunia.
Mwanasheria wa TIGO kama mlinda siri wa Wateja.
Hii kesi inaleta mengi.
Bwanaeee, na mimi nimemsikia huyu shahidi leo...Shahidi wa leo, kwenye kesi dhidi ya Mh. Mbowe na wenzake, bwana Fredy ametudhihirishia wateja wa mitandao ya simu kuwa polisi wanaweza kwenda kwenye hii mitandao na kuwaambia wenye mitandao wawape taarifa zako zote, kama mawasiliano, ulipo, miamala yako, wao hata hawaulizi ni kwaajili ya nini, wanawapa.
Watanzania hatupo salama kiusalama wala kifaragha, kila unapotumia mtandao wa simu. Polisi mwenye nia mbaya nawe, anaweza kwenda kwenye mitandao, na kuomba location yako, atapewa; akitaka kujua una mahusiano na mtu gani, atapewa; akitaka kujua simu yako ilituma hela kwa nani na ina balance kiasi gani, anapewa; atapewa chochote anachotaka alimradi tu ni polisi.
Hii ni wakeup call, kuwa usitumie mitandao ya simu kama siyo lazima sana. Labda utumie zaidi data ili mawasiliano yawe kwa whatsap, skype au telegram, huduma ambazo savers hazipo nchini, lakini siyo sms wala calls, au kutuma hela.
Kwa mwenendo wa kesi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA freeman Mbowe na ushahidi na mashahidi wanaojitokeza kuna vilio vitakuja baadae.
Shahidi namba 05 wa leo ama kwa kujua ama kutokujua au kwa kushinikizwa unaona kabisa ameitumbukiza shimoni TIGO na MIC.
Huyu Shahidi wa TIgo anaonesha kabisa kuwa hajui ama alifanya kwa kufuata maelekezo. Kuna sehemu anasema wao mtu yeyote akipata barua toka Polisi kuhusu kuchunguzwa kwa mtu hawaangalii chochote.
Hapa anabanwa na sheria ya faragha. Mbowe anapiga hela hapa. Hata kama Mbowe atafungwa kwa case atakayofungua dhidi ya TIGO ana uhakika wa familia yake kuishi kwa raha.
TIGO wamejiingiza katika mgogoro mkubwa na watumiaji wengine. Wasijione wapo bora waulize gazeti kongwe duniani lilivyofutika katika uso wa dunia.
Mwanasheria wa TIGO kama mlinda siri wa Wateja.
Hii kesi inaleta mengi.
Nafikiri huu ni upotoshaji. Ni kweli mitandao ya simu kwa kibali maalum wanaweza kutoa taarifa zetu kwa police.Shahidi wa leo, kwenye kesi dhidi ya Mh. Mbowe na wenzake, bwana Fredy ametudhihirishia wateja wa mitandao ya simu kuwa polisi wanaweza kwenda kwenye hii mitandao na kuwaambia wenye mitandao wawape taarifa zako zote, kama mawasiliano, ulipo, miamala yako, wao hata hawaulizi ni kwaajili ya nini, wanawapa.
Watanzania hatupo salama kiusalama wala kifaragha, kila unapotumia mtandao wa simu. Polisi mwenye nia mbaya nawe, anaweza kwenda kwenye mitandao, na kuomba location yako, atapewa; akitaka kujua una mahusiano na mtu gani, atapewa; akitaka kujua simu yako ilituma hela kwa nani na ina balance kiasi gani, anapewa; atapewa chochote anachotaka alimradi tu ni polisi.
Hii ni wakeup call, kuwa usitumie mitandao ya simu kama siyo lazima sana. Labda utumie zaidi data ili mawasiliano yawe kwa whatsap, skype au telegram, huduma ambazo savers hazipo nchini, lakini siyo sms wala calls, au kutuma hela.
Ukimtumia mume wa afande mwanamke message halafu huyo afande mwanamke akaenda kuomba data za namba yako utafurahi dada Tajiri Tanzanite ?Police ni chambo cha usalama na kudai taarifa za mtuhumiwa yeyote au mtu anayepelelezwa ni sawa kabisa ...achani ushabiki wa kisiasa..maana ya usalama nini sasa..kwa hiyo wasipewe huo uwezo ili nchi itekwe mara moja..achani ushabiki na ujinga..kwa hiyo police wakatufute order mahakani ili process ya kubaini wahalifu mara moja liwe complicated..acheni ushabiki
Na ni hatari sanaKiukweli hii imenishangaza sana daaah.
Usajili wa laini kwa alama za vidole,Hili jambo liko wazi kitambo sana, huyo mwanasheria wa TIGO kaja kuwathibitishia tu wenye uwelewa mdogo juu ya cordination iliyopo kati ya vyombo vya ulinzi na makampuni ya simu. However kuna maafisa wengine wa vyombo hivyo na wenye mamlaka hutumia mahusiano hayo kwa mambo yao binafsi which is unethical.
Customer's privacy is irrelevant when it comes to crimes.
Kama ilifanyika hivyo bila idhini ya mahakama ni kosa. Bahati mbaya sana hakuna watu wengi makini waliofuatilia au wanaofuatilia kesi za Sabaya kwa sababu ya udhalimu wake mwingi aliotuhumiwa nao kuwafanyia binadamu wenzake hata kabla ya kufikishwa mahakamani.
Weka petition ambao bado wana line hizo wazitupe mbali. Mimi nilishaitupa siku nyingi japo ndiyo nilianza nayo late 90'sKampeni ya tupa kule line ianze
Acha maneno yako kishimundu we choko,nyie ndio mnauliza mahakamani terrorism nin....na huyo vamba lazima afungwe.Ukimtumia mume wa afande mwanamke message halafu huyo afande mwanamke akaenda kuomba data za namba yako utafurahi dada Tajiri Tanzanite ?
Kwa nini iwe polisi na sio "kwa amri ya mahakama"!?
Sheria inasema taarifa inaweza kutolewa kama mtumiaji wa simu anatuhumiwa kutenda kosa fulani. Lakini uthibitisho uliotolewa leo ni kwamba polisi hawaelezi hata sababu, na tigo hata hawaulizi taarifa inahitajika kwa sababu gani.Nafikiri huu ni upotoshaji. Ni kweli mitandao ya simu kwa kibali maalum wanaweza kutoa taarifa zetu kwa police.
Hata kwenye kesi hii shahidi anasema alitakiwa kwa kibali maalum atoe hizi taarifa na km sheria inaruhusu tigo ingekataa.
Na nadhani ni duniani kote haya mambo yapo na upelelezi unatumika huko pia hata kujua muhalifu fulani yuko wapi.
Hata ukitupa line huna pa kukimbilia cha muhimu tuwe raia wema tuache mawaa.
Taarifa wanatoa ila kwa kibali maalum mitandao yote ya simu.
Shahidi wa leo, kwenye kesi dhidi ya Mh. Mbowe na wenzake, bwana Fredy ametudhihirishia wateja wa mitandao ya simu kuwa polisi wanaweza kwenda kwenye hii mitandao na kuwaambia wenye mitandao wawape taarifa zako zote, kama mawasiliano, ulipo, miamala yako, wao hata hawaulizi ni kwaajili ya nini, wanawapa.