Kesi ya Mbowe: Mambo yalikuwaje?

Membensamba

Senior Member
Nov 4, 2010
157
10
Nimeona taarifa nzuri na picha juu ya jinsi alivyopelekwa Mbowe Ar, na hata thread nyingine zimeonesha kuwa ameachiliwa na hakunyimwa dhamana. Ambacho sijaona ni jinsi kesi ilivyoendeshwa. Naomba mtufuze mliokuwepo katika haya: Je Kamanda Mbowe kaachiwa kweli? Je, kuna amri yeyote iliyotolewa na mahakama inayomzuia Mbowe kutokutoka kwenye eneo lolote kama sharti la kuachiwa kwake? Na mwisho kesi ilikwendaje? Was there any repremanding for failure to appear in court or explanation as to why Mbowe has had to be taken to court by force?
 
Back
Top Bottom