Kesi ya Mbowe: "Mahakamani si kwa Mama zetu"

Mambo mengi kwa sasa hayako sawa...sijui kwa nini!

Mh. Mama Samia sio dhaifu bali huenda kuna wahuni wanamhujumu kiaina.

Takribani kwa masaa kadhaa kwa siku mbili napita ubungo junction mataa hayafanyi kazi na hakuna askari/traffic wa kuongoza magari. Yaani kila mtu anajieendea tu atakavyo.

Nawaza mbona mbona kama traffic lights nyingi zina back up ya solar system? Kulikoni kwenye vivuko vingi kwa sasa?

Watanzania tusihujumiane tafadhali

Udhwaifu ni pamoja na kukubali kuhujumiwa
 
Eti nina wasi wasi shahidi anafundishwa majibu

Hapo ndio nikajua kua hata ishu ya mawakili wa jamhuri kutokuja na shahidi wakati utetezi walijiandaa kukutana na shahidi inaonesha wazi hilo lilikuwa planned pamoja na jaji

Wakidhani wangewapa taarifa mapema kina kibatala wangejipanga kuja na hoja nzito ambazo zingempa wakati mgumu jaji

La kutokuja na shahidi, lengo kuu kuwashtukiza utetezi wasijiandae kikamilifu. Walifanya hivi kwa Adamoo pia.

IMG_20211127_104806_837.jpg

Kesi ya Mbowe: Maslahi gani Washitakiwa kunyimwa Haki?

Nakubaliana nawe jaji na WS lao moja.
 
Wakafie mbali tu ata kwa ajali. Kuaibika hakutosh

Hawana chembe ya utu. Hawataki Ling'wenya ajitetee. Hawa ni bora ya mamba wala watu.

Wanaye mwakilisha kama hawakani, yumkini ni kama wao.
 
Dogo, maneno yenu na post zenu haziwasaidii chochote washtakiwa. Kama wana hatia au wakitiwa hatiani watautumia mtondoo tu!
Wambie na wakumbushe kuwa vita ya wanawake wanaogombea mwanaume ina viwanja viwili tu- jikoni na Kitandani- nje ya hapo ni kupoteza mda tu. Waache washinde humu na post za kejeri na matamanio- mwisho wa siku Mbowe atafungwa maisha.
 
Wacha waambuke mbele za wakwe sisi zetu duwa mdogo mdogo hoja zao zinawaumbua mbele ya kadamnasi.

Kwamba hawa ma WS kuna mtu wana mwakilisha na kuwa anaridhishwa na utendaji wao?

Kwa hakika kutakuwa na mambo mengi hayako sawa. Dalili kamili za mwendelezo huu:

IMG_20211119_091739_123.jpg
 
Wakili mwandamizi wa Jamhuri ya Tanzania, Mh. Chavula alichofanya ni kuwarejesha mawakili wa Mbowe kwenye methali maarufu na chungu inayohusu the principle of impartiality of the court'. Methali hii ya kizungu inasema: 'The court is not your mother to grant what is not pleaded or asked for!'

Na akaendelea kuwakumbusha mawakili hao wa Mbowe ambao wamegawanyika kwa sababu za kimasilahi, kwamba mahakama inayosikiliza kesi hiyo ni mahakama ya Jamhuri ya Tanzania na yeye ni wakili mwandamizi wa Jamhuri hiyo.

Akaendelea kuionesha mahakama kwamba mawakili wa Mbowe wameleta takataka wakiomba mahakama ipokee takataka hiyo kama kielelezo cha shaidi wao Ling'wenya. Yaani wanataka kuigeuza mahakama hiyo kuwa dampo la matakataka.

Congradulations sana Mr Chavula kwa kuleta hoja za kisomi mahakamani zenye mvuto badala ya blablaa na kelele za wale wa upande mwingine.
 
Na Jaji akaongeza kwa upole, "mbona mnanipa wakati mgumu"
Inaonyesha hii barua imewashtua Jaji na mawakili wa serikali.

Hizi mbona ni za vuli tu? Za masika bado!

Na Jaji akaongeza kwa upole, "mbona mnanipa wakati mgumu"

😂😂

Hiiiiii bagosha!
 
Naam, kwa amri ya Samia na wala si kwa ushahidi. Na kama hilo linakupa raha basi wewe ni wa ufalme wa Shetani.
Wambie na wakumbushe kuwa vita ya wanawake wanaogombea mwanaume ina viwanja viwili tu- jikoni na Kitandani- nje ya hapo ni kupoteza mda tu. Waache washinde humu na post za kejeri na matamanio- mwisho wa siku Mbowe atafungwa maisha.
 
Dogo, maneno yenu na post zenu haziwasaidii chochote washtakiwa. Kama wana hatia au wakitiwa hatiani watautumia mtondoo tu!

Umeona popote tunaongelea msaada kwa mshitakiwa yeyote?

Jifunze kutumia lugha stahiki kuwasiliana na watu usiowajua.

Ya vijiweni baki nayo huko huko!
 
Wambie na wakumbushe kuwa vita ya wanawake wanaogombea mwanaume ina viwanja viwili tu- jikoni na Kitandani- nje ya hapo ni kupoteza mda tu. Waache washinde humu na post za kejeri na matamanio- mwisho wa siku Mbowe atafungwa maisha.
It's your wish. Wewe nenda kapiganishwe Vita kitandani, JF hutufai.
 
Wakili mwandamizi wa Jamhuri ya Tanzania, Mh. Chavula alichofanya ni kuwarejesha mawakili wa Mbowe kwenye methali maarufu na chungu inayohusu the principle of impartiality of the court'. Methali hii ya kizungu inasema: 'The court is not your mother to grant what is not pleaded or asked for!'

Na akaendelea kuwakumbusha mawakili hao wa Mbowe ambao wamegawanyika kwa sababu za kimasilahi, kwamba mahakama inayosikiliza kesi hiyo ni mahakama ya Jamhuri ya Tanzania na yeye ni wakili mwandamizi wa Jamhuri hiyo.

Akaendelea kuionesha mahakama kwamba mawakili wa Mbowe wameleta takataka wakiomba mahakama ipokee takataka hiyo kama kielelezo cha shaidi wao Ling'wenya. Yaani wanataka kuigeuza mahakama hiyo kuwa dampo la matakataka.

Congradulations sana Mr Chavula kwa kuleta hoja za kisomi mahakamani zenye mvuto badala ya blablaa na kelele za wale wa upande mwingine.
Sisi tunachoona ni kwamba Chavula yupo provoked. Amepanick, ameishiwa, ameona heri aharibu kesi kuliko kuendelea kubebeshwa aibu. Mungu ni mwema kila wakati.
 
Wapate ajali, gari iungue moto, waungue wabakie majivu, mvua kubwa inyeshe isombe majivu kusikojulikana, mateja waje waibe screpa za gari wakauze mbali, screpa ziyeyushwe zitengeneze visu, watoto wao na ndugu zao wanunue, kisha wafarakane wakatane na bisu hizo wakafie mbali
Aisee kuna mahali nimesoma kwenye msaafu kwamba "waovu wote wanalaanika na vizazi vyao mpaka kizazi cha kumi". Ogopa sana kutenda maovu kwa kukusudia".
 
Sisi tunachoona ni kwamba Chavula yupo provoked. Amepanick, ameishiwa, ameona heri aharibu kesi kuliko kuendelea kubebeshwa aibu. Mungu ni mwema kila wakati.
Haja panick bali amechoshwa na blablaa na makele ya akina Kibatala yasiyo ya kisomi cha sheria bali lenye lengo la kuchelewesha kesi ili waendelee kuvuta mpunga toka chadema. Hata Jaji inaelekea naye kawachoka na ameaanza kumdhibiti Kibatala na kelele zake. Mr Chavula kaamua kuanza kuwapa kisomo cha sheria. Wengi wamemuelewa (isipokuwa Kibatala) na wameanza kuongea lugha moja na kesi imeongezeka mwendo.
 
Hayo ni maomi yako.
 
Wakili mwandamizi wa Jamhuri ya Tanzania, Mh. Chavula alichofanya ni kuwarejesha mawakili wa Mbowe kwenye methali maarufu na chungu inayohusu the principle of impartiality of the court'. Methali hii ya kizungu inasema: 'The court is not your mother to grant what is not pleaded or asked for!'

Na akaendelea kuwakumbusha mawakili hao wa Mbowe ambao wamegawanyika kwa sababu za kimasilahi, kwamba mahakama inayosikiliza kesi hiyo ni mahakama ya Jamhuri ya Tanzania na yeye ni wakili mwandamizi wa Jamhuri hiyo.

Akaendelea kuionesha mahakama kwamba mawakili wa Mbowe wameleta takataka wakiomba mahakama ipokee takataka hiyo kama kielelezo cha shaidi wao Ling'wenya. Yaani wanataka kuigeuza mahakama hiyo kuwa dampo la matakataka.

Congradulations sana Mr Chavula kwa kuleta hoja za kisomi mahakamani zenye mvuto badala ya blablaa na kelele za wale wa upande mwingine.

Huyu bwana hana haja na haki. Yuko kimaslahi zaidi. Yuko kazini na cha muhimu kwake ni kile kiingiacho mfukoni mwake tu. Vilivyobakia mtajiju.

Huyu bwana anaweza kuwa accomplice mzuri tu kwenye lolote. Huyu bwana hana tofauti na mumiani.

Kinachojali kwake ni mapato yake. Huyu bwana hawezi kuaminiki panapo pesa. Ananunulika.

Kesi ya Mbowe: Maslahi gani Washitakiwa kunyimwa Haki?

Kwa huyu bwana hapendwi mtu. Ila labda pochi na ahadi za maslahi zaidi.

Kwa wakili huyu kutokea Kaskazini marupurupu yake ni muhimu zaidi kuliko maisha ya awaye yote asiyemhusu.

WS Chavula ni advocate wa kuwa mahabusu na wafungwa wasistahili haki zozote.

Huyu bwana akiwa ni bwana jela au Jaji, utakuwa ndiyo mwisho wa neno haki kwa mtuhumiwa au mfungwa yeyote.

Nani asiyejua mahakamani kuna tofauti ya kushinda kesi na kupata haki?

In short WS Chaula ni uncultured, unprincipled, egocentric, immoral, unethical, unscrupulous "human being" asiyekuwa na chembe ya utu.

No wonder Chaula anawakilisha walioko kwenye sufuria hili:

IMG_20211119_091739_123.jpg

Vinginevyo isingigekuwa ajabu kwa mteja wake kumkana forth with!

Asante kwa utambulisho wako kumhusu wakili msomi huyu.

"Kwa njaa zake anaweza kufanya lolote."

Yaani tumemuelewa vizuri mno kuliko hata maelezo yako.
 
Back
Top Bottom