kesi ya mahanga~mbunge wa segerea

kesi ya mahanga~mbunge wa segerea

Utamuwapipi

Member
Joined
Jan 30, 2011
Posts
21
Reaction score
2
wadau,mwenye habari kuhusu mwenendo wa kesi ya huyu gamba,
nimepita pale mitaa ya kivukon front watu ni wengi wanasikiliza kesi hiyo.
Wanamjvi fungukeni!
 
Jana mliambiwa msikurupuke kuanzisha mathread bila hata ya kupitia zinazoendelea zinasemaje. Sasa nashangaa watu msichokielewa ni nini, hivi hadi muonyeshe upeo wenu hadharani?
 
wadau,mwenye habari kuhusu mwenendo wa kesi ya huyu gamba,
nimepita pale mitaa ya kivukon front watu ni wengi wanasikiliza kesi hiyo.
Wanamjvi fungukeni!

Join Date : 30th January 2011
Hivi ni kweli wewe upo jukwaani toka kipindi hicho? Mbona kama ndiyo umejoin leo!!!!!
 
Thread ya Mahanga tayari ipo hewani!
Mods. weka hii kapuni!
 
Jana mliambiwa msikurupuke kuanzisha mathread bila hata ya kupitia zinazoendelea zinasemaje. Sasa nashangaa watu msichokielewa ni nini, hivi hadi muonyeshe upeo wenu hadharani?

mdau hujanipata,kesi yake ni leo tarehe 2/05/2012,nlichotaka kufahamu ni nini kinaendelea mahakaman hapo kwa aliyeko eneo la tukio
 
mdau hujanipata,kesi yake ni leo tarehe 2/05/2012,nlichotaka kufahamu ni nini kinaendelea mahakaman hapo kwa aliyeko eneo la tukio
Kabla hatujaenda mbali, unaelewa maana ya 'thread' ?

Huko kwenye thread nyingine nako ni mipasho tuuu hakuna updates wala nini! Bora niskilizie kwenye kamkulima changu.
 
du!Jabulani kweli umeniamulia!
Hapana, nataka tuende sawa. Kuna uzi (thread) umeanzishwa tangu saa 12.49 alfajiri ya leo kuzungumzia kesi hii. Wewe umeuliza swali lako kuhusu maendeleo ya kesi saa 5.05 mchana huu. Katika hali ya kawaida tu, ulipofungua ukurasa wa JamiiForums walau ungeenda kwenye kitufe cha 'New Posts' na ungezikuta current active threads, ambapo mojawapo inahusu maendeleo ya kesi hii, na kwa hiyo haukuwa na sababu ya kuanzisha uzi (thread) mpya. Kwa msaada tu, tuachane na hii kama tulivyokubaliana jana, na wote tuende kwenye thread inayozungumzia hilo ambayo iko hapa https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/260474-kesi-ya-mahanga-leo-live-updates-21.html

wadau,mwenye habari kuhusu mwenendo wa kesi ya huyu gamba,
nimepita pale mitaa ya kivukon front watu ni wengi wanasikiliza kesi hiyo.
Wanamjvi fungukeni!

Tayari watu wapo mahakamani hapo wanafuatilia kuwa mpole
 
updates yoyote? maana kuna taarifa nyingine hapa
 
Back
Top Bottom