Kesi ya Lissu na hatima ya maridhiano

Huyo sio CCM huyo ni chawa,
Kama kuna kitu CCM kinatuharibia ni uwepo wa machawa.

Wakati wenzetu wanaweka hoja sisi CCM anatokea chawa analeta upuuzi.
Wanaitukanisha CCM mbele ya Umma.
😭😭😭
Yaani safari hii ccm Mungu kaamua awadhalilishe kwanza kabla ya anguko kuu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ’©
 
Yaani safari hii ccm Mungu kaamua awadhalilishe kwanza kabla ya anguko kuu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kwani Funuku na timu yake ya wajenga kesi mchongo nachawa wanasemaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…