Kesi ya Lema kupigwa danadana

Kesi ya Lema kupigwa danadana

Raia Fulani

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2009
Posts
11,866
Reaction score
4,252
Kwa habari nilizozipata ni kuwa kuna mpango wa kuiyumbisha rufaa ya Lema kiasi cha kutokuwepo majibu ya busara hivyo kusababisha Lema kushindwa kesi.

Hii itampelekea Lema kuchukua uamuzi wa kufungua kesi upya wakati mnamo mwakani serikali ina mpango wa kuzifuta kesi zote za uchaguzi zilizokuwa na wingi wa viporo na abrakadabra za hapa na pale.

Lengo ni kuhakikisha kuwa Lema harudi tena Bungeni kipindi hiki kuelekea 2015, hivyo wana Arusha mjiandae kutokuwa na Mbunge hadi hapo.

Hizi hi habari mbaya kwa sisi wana cdm ila naamini wanaarusha hawatakuwa na upungufu wa kumbukumbu kuona kuwa tunakabiliwa na changamoto nyingi mbeleni.

Mungu ibariki Tanzania mpya inayonukia
 
Na bado wana chadema habari mbaya sio hiyo hiyo ni trailer tu movie ya habari mbaya mi 2015
 
Kwenye harakati za ukumbozi sio lazima mtu awe mbunge ndio afanikishe.Hata bila kuwa mbunge Lema ataendelea kukijenga chama.
 
Mbona lema anawanyima usingiz sana? Lema ni jembe na huwez mlinganisha na yeyote CCM. Na lema hakuzaliwa na ubunge nawala baba yake hakuwahi kua mjengoni but thuruma zinamwisho wake.

Na hakuna kisicho kuaga namwisho we mwenyewe mwisho wako ukifika utakufa, sembuse CCM!!

Hamuwez njongea kwa wiz uchaw thuruma na mauchafu uchafu mengi mliyo nayo. Vipi yale mavi ya panya mlisha yachambu kwenye mchele?au yamekua mengi zaidi ya mchele.

CDM chocheen kun mbichi moto uwake na ugali usongwe.
 
Namkumbuka na kumtamani sana Bwana Zuma Rais wa South Africa.
Uongozi si elimu hadi chuo kikuu bali weredi wa kujua wananchi wanataka nini, na uwe na mipango madhubuti na mikakati ya kutekeleza yale unayoyaamini yatokanayo na wananchi wako.

Kwenye harakati za ukumbozi sio lazima mtu awe mbunge ndio afanikishe.Hata bila kuwa mbunge Lema ataendelea kukijenga chama.
 
Mods,
Jukwaa limevamiwa sasa. Watu wamehamisha maneno yasiyo na staha huku. Naona JF ya ma GTs inageuzwa kama kijiwe cha Facebook kwani hata terminologies zinazotumika kule, ndiyo hizi hizi wanazozileta hapa.

So sad.

hali ikifikia hapa, mara nyingi akili ndogo huwa inatawala akili kubwa. na kwa wenye busara na hekima huwa wanamlilia Mungu kwani ndiye pekee wa kuwanusuru
 
Mtoa mada sioni kitu cha kujitosheleza katika mada yako. Hukumu ya Lema ni tarehe 08.11 danadana zinatoka wapi???

Tunasubiri hukumu kisha tuone yatayojiri kutokana na hukumu hiyo.
 
Mimi nasema bora ukose utajiri kuliko kukosa akili.Yaani ni bomu kwa familia yako na nchi yako kwa ujumla
 
Sina uhakika na chanzo cha mleta mada lakini nanusa dhulma inayoendelea kwa kamanda lema, huenda kweli kesi ikapigwa danadana mpaka 2015 na wana Arusha wakasota miaka yote mitatu bila mbunge.
 
Mtoa mada sioni kitu cha kujitosheleza katika mada yako. Hukumu ya Lema ni tarehe 08.11 danadana zinatoka wapi???

Tunasubiri hukumu kisha tuone yatayojiri kutokana na hukumu hiyo.

Sina uhakika na chanzo cha mleta mada lakini nanusa dhulma inayoendelea kwa kamanda lema, huenda kweli kesi ikapigwa danadana mpaka 2015 na wana Arusha wakasota miaka yote mitatu bila mbunge.
Ni kweli kuwa chanzo cha hii taarifa si rasmi sana ila ni mdau muhimu tu kwenye siasa zetu. Chama tawala kina kila nia ya kuona upinzani ukienda harijojo. let us wait and see
 
Kwa habari nilizozipata ni kuwa kuna mpango wa kuiyumbisha rufaa ya Lema kiasi cha kutokuwepo majibu ya busara hivyo kusababisha Lema kushindwa kesi.

Hii itampelekea Lema kuchukua uamuzi wa kufungua kesi upya wakati mnamo mwakani serikali ina mpango wa kuzifuta kesi zote za uchaguzi zilizokuwa na wingi wa viporo na abrakadabra za hapa na pale.

Lengo ni kuhakikisha kuwa Lema harudi tena Bungeni kipindi hiki kuelekea 2015, hivyo wana Arusha mjiandae kutokuwa na Mbunge hadi hapo.

Hizi hi habari mbaya kwa sisi wana cdm ila naamini wanaarusha hawatakuwa na upungufu wa kumbukumbu kuona kuwa tunakabiliwa na changamoto nyingi mbeleni.

Mungu ibariki Tanzania mpya inayonukia

kwa ukweli kabisa imedhihirika kuwa wana arusha hawana haja ya kuwa na mbunge kwani tangia lema amesimamishwa maendeleo waliyo yapata ni makubwa kuzidi wakati lema yuko mbunge, kwa hiyo hata wakikaa bila mbunge maendeleo yao yanakwenda kwa kasi ya kimbunga ccm oyeeeeee
 
Ni mapema sana kuongelea danadana ikiwa tunaamini mahakamani ndiko kunakopatika haki, baada ya 8/11/2012 tutakuwa na la kuongea, kumbuka kuna ubishani wa kisheria ktk kesi yake, Kama ubunge ni wake basi Mungu yupo atamrudishia tu, na kama C wake hatarudi mjengoni
 
Kwa habari nilizozipata ni kuwa kuna mpango wa kuiyumbisha rufaa ya Lema kiasi cha kutokuwepo majibu ya busara hivyo kusababisha Lema kushindwa kesi.

Hii itampelekea Lema kuchukua uamuzi wa kufungua kesi upya wakati mnamo mwakani serikali ina mpango wa kuzifuta kesi zote za uchaguzi zilizokuwa na wingi wa viporo na abrakadabra za hapa na pale

Lengo ni kuhakikisha kuwa Lema harudi tena Bungeni kipindi hiki kuelekea 2015, hivyo wana Arusha mjiandae kutokuwa na Mbunge hadi hapo.

Hizi hi habari mbaya kwa sisi wana cdm ila naamini wanaarusha hawatakuwa na upungufu wa kumbukumbu kuona kuwa tunakabiliwa na changamoto nyingi mbeleni.

Mungu ibariki Tanzania mpya inayonukia

Hapo kwenye red,hata wafanye mbinu zao nakwambieni ccm kulirudisha hili jimbo ni ndoto ya saa saba mchana!
 
kwa ukweli kabisa imedhihirika kuwa wana arusha hawana haja ya kuwa na mbunge kwani tangia lema amesimamishwa maendeleo waliyo yapata ni makubwa kuzidi wakati lema yuko mbunge, kwa hiyo hata wakikaa bila mbunge maendeleo yao yanakwenda kwa kasi ya kimbunga ccm oyeeeeee
Wewe ingekuwa si naogopa ban ningekutukana gamba Wewe unayepokonya haki zetu kwa nguvu
 
Kwani JK alivyofanya ziara Arusha alikwenda kumalizana na majaji?
CCM watabanaaaa mwisho wataachi na hiyo itakuwa aibu yao USHINDI UPO TU
 
Back
Top Bottom