Kesi ya Lema kupigwa danadana

Kesi ya Lema kupigwa danadana

Kwani JK alivyofanya ziara Arusha alikwenda kumalizana na majaji?
CCM watabanaaaa mwisho wataachi na hiyo itakuwa aibu yao USHINDI UPO TU
 
Mtoa mada sioni kitu cha kujitosheleza katika mada yako. Hukumu ya Lema ni tarehe 08.11 danadana zinatoka wapi???

Tunasubiri hukumu kisha tuone yatayojiri kutokana na hukumu hiyo.

Kwani unadhani tetesi zilizovuja zitakuwa na official claims.Kwa ujumla ikifika 2015 CCM watakuwa wamejimliza kote hata kwa wafadhili wanaofuatia ni wana arusha na wengine wanofeel karama ya Lema.
 
Danadana zimeanza. Kesi baada ya wk mbili
 
Back
Top Bottom