Kesi ya kupinga matokeo Arusha mjini, yaendelea

Kesi ya kupinga matokeo Arusha mjini, yaendelea

Nanyaro,
wala mie sijakushutumu jinsi ulivyoripoti ki ukweli umeweka ushabiki wa kisiasa mbele.

Umechukuwa maneno yaliokufurahisha na kuyaweka jamvini, mtu ambae akuwepo lazima ataona hiyo kesi ni kituko mkuu najua unaipenda sana Chadema. Weka ulingo wa habari sawa.

Ungeweka basi hata maelezo kidogo ya Wakili Alute Mugwai, na Modest Akida.

Mbona hata magazeti leo yameandika mahojiano hayo aliyosema mtoa thread. Au na mwandishi wa Gazeti naye ni CDM. Naona ametoa kilichosemwa mahakamani

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Shahidi ukishindwa kuthibitisha katika kesi, ina maana hiyo kesi ni batili. Kwamtazamo wangu ingawa sikuwa ARUSHA kipindi cha kampeni lakini naona kuwa ni kesi ya kutengenezwa, sasa watengenezaji wamewachukua MBULULA kufungua kesi na hawakuwajaza maneno ya kuongea.

Wanafikiri ubishi wa kwenye vijiwe vya kunywa kahawa na kucheza draft ni sawa na mahakamani!!!!

Pale ni mambo ya sheria na kutoa jibu lenye usahihi. siyo kupeleka ubishi wa kwenye vijiwe. Au huyu bwana alikuwa anataka kupanda chat kwa kuandikwa katika magazeti?????????????

Ndio hawa mambumbumbu wanaongangania CHAMA CHA MAJAMBAZI (CCM) kwa zawadi ya tshirt na khanga.

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!!

Mkuu, naona unatoa hukumu kupitia JF.
 
Ni uchezeaji wa rasilimali za taifa tu na kupoteza muda wa mahakama. Kwahiyo akishinda ataacha ubalozi aje kugombea tena ubunge/?
 
Kumbe hata yule mama wa Igunga (wakati wa kampeni za ubunge) alilalamika kwasababu alivuliwa sare ya Al-Qaida?.
 
Kwa siasa za arusha zilivyo, hata kama wakitengua ushindi wake, lazima mh mbunge atashinda tena!
Ccm wajipange kwa chaguzi zijazo, kwani uwezekano wa wao kupoteza majimbo unaonekane. Sasa wakibaki kung'ang'ania hizi kesi zisizo na kichwa wala miguu itameza kwao mara 2.
 
[Mkuu Ngongo.
kwenye kesi hiyo Lema akifanya mchezo itamtupa kwenye ulingo wa siasa..
Mkanga, aliezea mahakama mbele ya Jaji Gabriel Rwakibarila kuwa Lema, alitumia mikutano aliyofanya katika kata za Sombetini, Terat na Elerai, akiwataka wananchi wasimchague Dk Burian kwa madai ni mwanamke aliyeolewa Zanzibar na kwamba angerejeshwa visiwani humu mara baada ya uchaguzi ili kuhudumia familia yake.
kesi ngumu sana hii kwa Lema.]

kesi hii haina ugumu wowote sema tu watu wanaprejudge lakini mpaka hapo nimeshaanza kuona kumbe Lema alishinda kwa kura nyingi bali inayobishaniwa ni nyingine kabisa ambayo haina mashiko bila shaka judge will quash out this irrelevant petition
 
Heshima kwanu wanajamvi,

Nilisema mara baada ya matokeo ya uchaguzi yalipotangazwa kwamba ushindi wa Mheshimiwa Lema ukitinga mahakamani lazima atapigwa chini kwasababu yapo matamko mengi ambayo hakupaswa kutamka hadharani.Huo ndiyo ukweli wa mambo lipo suala la Redio Safina likifikishwa mbele ya Jaji hakika lazima maandalizi ya uchaguzi mwingine yafanyike.

Mheshimiwa Lema bado ana nafasi ya kushinda tena uchaguzi mwingines si kwasababu kafanya mambo mazuri lahasha atashinda kwakuwa bado siasa za kishabiki zitachukua nafasi yake.
Wakati mwingine uwe unongea vitu vya maana, kila ukiandika humu unakuwa kama unamatatizo ya akili hivi. Sasa ni lini Mh. Lema alipigwa chini? unawezaje kutoa hukumu wakati ni shahidi mmoja tu ametoa ushahidi ambao haujakamilika? Acha wazimu na chuki zako binafsi wewe.
 
Mkuu Ngongo.
kwenye kesi hiyo Lema akifanya mchezo itamtupa kwenye ulingo wa siasa..

Mkanga, aliezea mahakama mbele ya Jaji Gabriel Rwakibarila kuwa Lema, alitumia mikutano aliyofanya katika kata za Sombetini, Terat na Elerai, akiwataka wananchi wasimchague Dk Burian kwa madai ni mwanamke aliyeolewa Zanzibar na kwamba angerejeshwa visiwani humu mara baada ya uchaguzi ili kuhudumia familia yake.

kesi ngumu sana hii kwa Lema.
Wewe na Ngongo wako mna matatizo ya akili. Mtaishia kutabili kama waganga lakini hamta fanikiwa
 
Ngongo,

Unaheshimika sana hapa JF ila tu huwa unapoteza kitu fulani kichwani mara ukiona jina la LEMA.

Kwa kusema tu, huwezi kusema uchaguzi urudiwe. Mama angeliweza kumshitaki Lema kwa kumkashifu na hapo angelikuwa kwenye nafasi nzuri sana ya kushinda. Ila kwa sababu Lema alisema, ndiyo maana watu hawakumpigia kura? Kwani hata ukirudiwa, watu si wanakumbuka Lema alisema nini? Sasa hii itakusaidia nini?

Nafikiri huwa zaidi wanajikita kuangalia mambo ya KURA. Wizi au udanganyifu wa kura ndiyo huwa mzizi wa fitina. Kwa mfano Ukonga, Chadema wangeliweza kuthibitisha masanduku ya wizi wa kura, hapo ndiyo kinawaka. Sasa haya ya nani alisema nini au nani alihonga nini, yanakuwa magumu sana kuyafuatilia na kama ukisema uyafuate, basi utarudia uchaguzi wote wa Tz.

Mwisho, wewe si HAKIMU kuhukumu kuwa LAZIMA ATAPIGWA CHINI. Ungelikuwa unajulikana, ulitakiwa Ushitakiwe na mwisho uhukumiwe na Kufungwa.

Heshima kwanu wanajamvi,

Nilisema mara baada ya matokeo ya uchaguzi yalipotangazwa kwamba ushindi wa Mheshimiwa Lema ukitinga mahakamani lazima atapigwa chini kwasababu yapo k
matamko mengi ambayo hakupaswautamka hadharani.Huo ndiyo ukweli wa mambo lipo suala la Redio Safina likifikishwa mbele ya Jaji hakika lazima maandalizi ya uchaguzi mwingine yafanyike.

Mheshimiwa Lema bado ana nafasi ya kushinda tena uchaguzi mwingines si kwasababu kafanya mambo mazuri lahasha atashinda kwakuwa bado siasa za kishabiki zitachukua nafasi yake.
 
Kwa hali ya kisiasa ilivyo kule Arusha labda kama mahakama ikishirikiana na CCM inataka kumwaga damu tena Arusha,maana kama wakiipindisha haki mahakamani na ikahukumiwa kuwa Lema ameshindwa,uchaguzi ukirudiwa Lema ni mshindi tena ila kwa kuwa ******* wanataka kulazimisha hapo ndipo patachimbika.
Hata hivyo ni mapema sana kusema CCM wameshinda kesi ile,na ni kesi ya kizushi,maana mgombea wala hana time ameshapewa pande huko Kenya ila vilaza na viherehere kama huyo Mkangaa,ndio kashikia bango kama vile yeye ndo alipigwa chini kwenye uchaguzi.
Tusubiri tuone hukumu itakapotolewa
 
Wewe huna jipya kaka ngongo manake nahis wewe ni wa ******* bado na kilichomuweka lema madarakani ni ukali wa sera zake na huyo mama hana jipya na ******* yake.
 
Hii ni chakula ya baba mwanaasha!

uue jamani kukubali udhaifu sio udhaifu. ni njia mojawapo ya kujiimarisha.
huyu batilda hata agombee dhidi ya kijiti pale arusha mjini hata pata kura za
kumpeleka bungeni. achilia mbali dhidi ya Lema. lema hata agombee na yule kionhozi mkubwa bado atashindatu pale arusha.
 
(N)gongo wewe na wenzako ni loosers na mnafahamika hivyo hapa JF. We endelea kutupa story za umehami sijui Njiro kwa msora basi, vitu vingine soma tu na upite kimyakimya kama sisi wengine, uwezo wako ni mdogo umebakiza hate tu........ BTW we are all blind for you haters.....
 
Ahsante mkuu Nanyaro huyo jamaa ni kilaza kweli? Mwambie arudi wakamdanganye tena uongo mwingine!! Wananchi wa Arusha wote wana akili timamu sio vichaa kwa iyoo hawakufanya kosa hata kidogo. Walifanya uamuzi sahihi kabisa. Na istoshe BATILDA sasa ivi ni balozi nchini KENYA sasa huyo shaidi anajisumbua bure tu.
 
Ni jaji nani anayesikiliza shauri hili kwa sasa? kwani yule jaji wa mwanzo alishajitoa.
 
Back
Top Bottom