mikatabafeki
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 12,770
- 4,658
mnh hapa
Kwa tafsiri ya huyo Mheshimiwa sana Shahidi wetu CCM, FF nae ni Al-qaida! Al-qaida FF funguka uthibitishe hili.Sasa kama Al-qaida wanafunga vitambaa kichwani anachompinga Lema ni nini?
manake Batilda Burian hufunga kitambaa kichwani.Hivyo ni al-qaida.
huyu mshahidi anatokea wapi hembu jaribu kuuliza au kabla hajafika hapo alipitia Matejoo kunywa kachasu(gongo)
1.Wakili.Eleza mahakama,ni kitu gani(neno) hasa,kilichokugusa kama Musa Nkangaa,hadi ukaamua kufikia uamuzi wa kufungua kesi,
2.Shahidi.kilichifanya nifungue kesi,ni unyanyasaji wa kijinsia
3.Wakili.Je umeumia zaidi ya Batilda au zaidi ya familia ya Batilda?
4.Shahidi.Ndio nimeumia zaidi yao wote
hapo kwenye bold:Huyu Musa awe mwangalifu na kauli zake, aisitukane watu na kuwahusisha na wauaji, mama yangu sasa ana miaka zaidi ya 80a anafunga kitambaa....Musa anasema hata huyu ni Al-qaeda, huyu jamaa amepotokaWakuu
Kesi ya kupinga matokeo ya Ubunge Arusha mjini imeanza kusikilizwa,baada ya kujitoa kwa Jaji Aloyce Mujuluzi.Jana upande wa mashtaka ulianza kutoa ushahidi,ambapo shahidi wa kwanza Musa Nkangaa,aliieleza Mahakama kuwa Mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema,aliwataka wapiga kura kutomchagua Batilda Burian,kwa kuwa eti ni Al qaeda.
Mahojiano yalikuwa hivi..
1.shahidi.Mh Mbunge wakati wa kampeni kwenye mkutano Terat,aliwaambia wapiga kura wasimchague Batilda Burian,maana ni Al qaeda
2.Wakili wa utetezi..Unawafahamu Al qaeda?
3.Shahidi.Ndio nawafahamu,ni Mtu yeyote anayefunga kitambaa kichwani
4.Wakili wa utetezi..Je masista nao ni Al qaeda?
5.Shahidi.Ndio ni Al qaeda,kwa kuwa nao masista wanafunga vitambaa kichwani
Shahidi Musa Nkangaa ataendelea na ushahidi wake leo,nitaendelea kuwajuza kitakachojiri
Mkuu Nanyaro huyu musa mkangaa anahata akili ya dawa amejaliwa akili yakuto kujinyia tuu endelea kutujuza1.Wakili.Eleza mahakama,ni kitu gani(neno) hasa,kilichokugusa kama Musa Nkangaa,hadi ukaamua kufikia uamuzi wa kufungua kesi,
2.Shahidi.kilichifanya nifungue kesi,ni unyanyasaji wa kijinsia
3.Wakili.Je umeumia zaidi ya Batilda au zaidi ya familia ya Batilda?
4.Shahidi.Ndio nimeumia zaidi yao wote
mkuu tuweke wazi kama mama mwakaboko nae ni Al-qaeda....lolhapo kwenye bold:Huyu Musa awe mwangalifu na kauli zake, aisitukane watu na kuwahusisha na wauaji, mama yangu sasa ana miaka zaidi ya 80a anafunga kitambaa....Musa anasema hata huyu ni Al-qaeda, huyu jamaa amepotoka
Zinatumia kodi ya watanzania na zina wapotezea wabunge muda wa kufanyakazi....Kesi zenye mashahidi namna hii ziendelee tu ili tuongeze siku za kuishi kwa kucheka! coz tukio la kucheka kwa baadhi ya watu ni adimu sana.
Kazi kweli kweli yaani kumtambua al quida ni kwa kuvaa kitambaa kichwani? Na sio kwa kufanya ugaidi? Basi naona uelewa wake ni finyu hastahili kuwa shahidi kwa sababu namharibia anaye mtetea.