Kesi ya kupinga matokeo Arusha mjini, yaendelea

Kesi ya kupinga matokeo Arusha mjini, yaendelea

Nadhani ata wewe umeshindwa kujua Al-Qaida ni nani, sio magaidi wote ni wanaitwa Al-Qaida, ina wezekana huyo shahidi yupo right kwenye ya tafsiri ya Al-Qaida..

Lema, yeye alivyosema alikuwa anajua ni kina nani?

Al-Qaida -"The Base" (Government, Politics & Diplomacy) a loosely-knit militant Islamic organization, It operates as a network comprising both a multinational, stateless army and a radical Sunni Muslim movement calling for global Jihad


It has been designated a "terrorist organization" by the United States, the United Kingdom, the United Nations Security Council, the European Union, NATO, and various other countries
 
Shahidi wa upande wa mashtaka,Musa Nkangaa amemaliza kutoa ushahidi wake,na kesi imeahirishwa hadi Jumatatu
 
Shahidi wa upande wa mashtaka,Musa Nkangaa amemaliza kutoa ushahidi wake,na kesi imeahirishwa hadi Jumatatu
Asante sana Nanyaro kwakutujuza kuhusu kesi pia usiache kutujuza kitakacho jiri siku ya jumatatu maana nilitamani kuwepo lakini kazi imenibana sana sasa unavyo tupa yanayo jiri najisikia kama nipo mahakamani na pia tunajua yanayo jiri asante
 
Shahidi wa upande wa mashtaka,Musa Nkangaa amemaliza kutoa ushahidi wake,na kesi imeahirishwa hadi Jumatatu
Napia uendele kutupa upupu wa hao wajinga walio fungua kesi halafu hawajui kuto ushaidi zaidi ya kukashifu wengine kwanza huyo musa ni fisadi alieuza kiwanja cha umma wakati akiwa diwani
 
Musa mkanga alikuwa diwani wa sombetini,ana sifa ya kutojua kusoma na kuandika.alijiuzulu udiwani 2007 kwa kashfa ya kuuza uwanja pale levolosi
Na huu ndiyo ukweli kama kunaebisha afuatilie ufisadi wa huyu jamaa akiwa diwani nifisadi wakutupwa leo hana aibu anasimama mahakamani kuonge ujinga wake kuhusu Lema halafu hajui kujieleza ashiindweee na alegee
 
Umeamua kufunja watu mbafu mkuu😛oa

Haha ha ha .....Mkuu Nanyoro umeniumiza sana mbavu zangu, huyo jamaa alipiga cha arusha kwanza nini...nadhani hapo mahakamani watu walitoka hapo wakiwa na maumivu ya mbavu
Ha ha ha ha....huo ni mwanzo tuu😛hoto:
Dah...kweli siasa si hasa:smash:
Wakuu
Kesi ya kupinga matokeo ya Ubunge Arusha mjini imeanza kusikilizwa,baada ya kujitoa kwa Jaji Aloyce Mujuluzi.Jana upande wa mashtaka ulianza kutoa ushahidi,ambapo shahidi wa kwanza Musa Nkangaa,aliieleza Mahakama kuwa Mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema,aliwataka wapiga kura kutomchagua Batilda Burian,kwa kuwa eti ni Al qaeda.
Mahojiano yalikuwa hivi..
1.shahidi.Mh Mbunge wakati wa kampeni kwenye mkutano Terat,aliwaambia wapiga kura wasimchague Batilda Burian,maana ni Al qaeda
2.Wakili wa utetezi..Unawafahamu Al qaeda?
3.Shahidi.Ndio nawafahamu,ni Mtu yeyote anayefunga kitambaa kichwani
4.Wakili wa utetezi..Je masista nao ni Al qaeda?
5.Shahidi.Ndio ni Al qaeda,kwa kuwa nao masista wanafunga vitambaa kichwani
Shahidi Musa Nkangaa ataendelea na ushahidi wake leo,nitaendelea kuwajuza kitakachojiri
 
Du huyu shahidi ni timamu kweli? Au siku hizi vichaa wanaruhusiwa kutoa ushahidi!!

Mkuu Elba umenifanya nicheke kiukweli!hata mimi nimeshia kushangaakama ndio hicho alikisema basi kweli labda alishawahi kuugua kichaa
 
hakuna kesi hapo hizzo ni hila za magamba kumfanya lema asitimize wajibu wake wa kuwatumikia wananchi wa Arusha na kudeal na kesi tu,magamba mwisho wenu unanukia
 
Nadhani ata wewe umeshindwa kujua Al-Qaida ni nani, sio magaidi wote ni wanaitwa Al-Qaida, ina wezekana huyo shahidi yupo right kwenye ya tafsiri ya Al-Qaida..

Lema, yeye alivyosema Al-Qaida alikuwa anajua ni kina nani?
Nini kinakuaminisha kwamba mh. Lema aliyasema hayo? Kwani yeye mwenyewe kaulizwa na kukiri?
 
Mkuu ritz nenda mahakamani kamsaidie mwenzio yaani alikuwa anatetemeka miguu ile balaa!
 
anaitwa kiusahihi Musa Hamis Mkanga, sio Nkangaa; aliwahi kuwa diwani wa kata ya Sombetini akafukuzwa kwa kashfa ya ubadhirifu!
 
Dalili za kushindwa kesi mafisadi hizoooo!
Mkuu tangia apo kesi ni yakutengene wakiwa na malengo yao maana kina wauma sana jimbo hili la Arusha mjini kuchukuliwa na upinzani.....na tangu upinzania uanze CCM haija wahi kushinda bali huiba kura sasa safari hii watu wa Arusha waliamua kulinda kura zao kwa vyovyote vile wakashindwa kuiba naamini uliona siku ya tarehe 01-11-2010 watu walivyo jitokeza kuhakikisha matokeo haya chakachuliki pongezi kwa wana-Arusha pamoja na aliekuwa RPC Basilio Matei maana aliwaambia sina polisi wa kuzuia nguvu ya umma tangazeni matokeo haraka na mkichelewesha nitaamru polisi waondeke.....wakajenga chuki nae waka mhamisha
 
anaitwa kiusahihi Musa Hamis Mkanga, sio Nkangaa; aliwahi kuwa diwani wa kata ya Sombetini akafukuzwa kwa kashfa ya ubadhirifu!
Aliuza viwanja vya wazi kikiwemo kile cha pale kilombero karibu na shoprite...
 
Al-Qaida -"The Base" (Government, Politics & Diplomacy) a loosely-knit militant Islamic organization, It operates as a network comprising both a multinational, stateless army and a radical Sunni Muslim movement calling for global Jihad


It has been designated a "terrorist organization" by the United States, the United Kingdom, the United Nations Security Council, the European Union, NATO, and various other countries

Mkuu naona unanipa tafsiri ya Wamarekani wakati jina Al-Qaida sio lao.

Nipe tafsiri ya walioanzisha kundi ilo 1988 kina Bin Laden.
 
Back
Top Bottom