Mi si mwanasheria. lakini nina maswali yafuatayo..Mimi nina mdogo wangu ameshitakiwa kwa kesi ya wizi 2500000 n'a tajiri yake,kisha akasweka rumande kwa wiki mbili bila dhamana,baada ya hapo akapelekwa mahakamani pia akakosa dhamana kwahio akapelekwa segerea nako akakaa wiki mbili tena.Baada ya hapo sisi tukapata taarifa kuwa dogo yupo rumande,maana sisi tupo Kigoma dogo yupo Dsm,kwasasa nimemtoa dogo kwa remove order.Pia dogo hajalipwa mshahara wake n'a tajiri yake tokea mwezi wa mwaka jana nane n'a mkubaliano ya mshahara ni 150000 kwa mwezi,so dogo anamdai 1800000,wanasheria hii imekaaje?
Swali namba moja,dogo alawekwa tu ndani bila kosa lolote.Mi si mwanasheria. lakini nina maswali yafuatayo..
1. Kati kudai mshahara na kudaiwa hadi kuwekwa rumande kilianza kipi..?? Inawezekana huyo bosi anataka amdhurumu dogo wako hiyo 1.8M kwa njia ya total cancellation
2. Kuna nini kilitokea hadi dogo awe hajalipwa kwa muda wote huo...? Kimahesabu, ni kuwa dogo hakulipwa miezi 12 ambao ni mwaka mzima...
3. Kwa kipindi hicho cha miezi 12, dogo alikuwa anaishije..??? Maana j Dar muda huo huku hulipwi si mchezo
Mimi nina mdogo wangu ameshitakiwa kwa kesi ya wizi 2500000 n'a tajiri yake,kisha akasweka rumande kwa wiki mbili bila dhamana,baada ya hapo akapelekwa mahakamani pia akakosa dhamana kwahio akapelekwa segerea nako akakaa wiki mbili tena.Baada ya hapo sisi tukapata taarifa kuwa dogo yupo rumande,maana sisi tupo Kigoma dogo yupo Dsm,kwasasa nimemtoa dogo kwa remove order.Pia dogo hajalipwa mshahara wake n'a tajiri yake tokea mwezi wa mwaka jana nane n'a mkubaliano ya mshahara ni 150000 kwa mwezi,so dogo anamdai 1800000,wanasheria hii imekaaje?
ol u need is evidence za kutosha.
We have everything,what i am asking here if we won the case,how can we sue him?Wengine wanasema nimpeleke idara ya kazi au niwaone haki za binadamu.So nahitaji na hapa GT nipate ushauri wenu.Asanteni!
Asante,kuna mwanasheria aliniambia hivyohivyo nami niliwaza before hivyo,so nimepata pakuanzia!Ukishinda hiyo kesi unachopaswa ni kumfungulia huyo aliyewasumbua kesi ya madai ambapo atapaswa kukulipa fidia ya kushusha reputation ya huyo mdogo wako na usumbufu mlioupata na effect zingine mlizopata.
You don't have to be like this my dear. Tenses alizotumia na facts alizotoa ni vitu viwili tofauti, kama una ushauri, mpe, kama hauko intrested, usisumbuke.huna lolote wew na huyo dogo wako wote vibaka tu na hili nimeligundua baada ya kusoma sentensi zako.Hujui kiswshili na kingereza ndo unaharibu kabisa...utasemaje "if we won the case" we mshamba wa lugha kwa ushauri tu achana na hyo kesi nenda darasani kajifunze tofauti ya past na present tenses na pia ukajifunze tofauti ya R na L kwenye kiswahili....go!!!!
huna lolote wew na huyo dogo wako wote vibaka tu na hili nimeligundua baada ya kusoma sentensi zako.Hujui kiswshili na kingereza ndo unaharibu kabisa...utasemaje "if we won the case" we mshamba wa lugha kwa ushauri tu achana na hyo kesi nenda darasani kajifunze tofauti ya past na present tenses na pia ukajifunze tofauti ya R na L kwenye kiswahili....go!!!!