Kesi ya Kiongozi Uamsho: Mawakili watishia kujitoa, Sheikh Farid anyolewa ndevu...

Tunaomba dk shein aendelee hivohivo ,maana kuna watu wanataka kutumia dini ya mwenyezi mungu vibaya, kama wamezoea uarabuni basi sio tanzania. Vinginevyo wasajili vyama vya siasa tuelewe moja na si kutumia dini ya allah!
 
Kila lenye mwanzo lina mwisho. Mbio za sakafuni zinaishia ukingoni. Ukipiga ukuta ngumi utaumia wewe. Ukimuiga tembo kunywa maji utapasuka msamba.
 
Siiipatii picha ijumaa ya kesho...
Vijana wa farida huko zenj na wa ponda huku bara idd watailia segerea
 
Amenyolewa ndefu bila ridhaa yake? Au kaamua kunyoa mwenyewe ili ionekane anagandamizwa na serikali?
 
Duuh!! Kumbe haka kajamaa kana uso flani hivi,ngoja waje wazee wa pwani wamalizane nae.
 
mbona shehe anatoa ishara ya amani vidole viwili ananitisha

ni amani au ni alama ya ushindi..


The V sign is a hand gesture in which the indexi and middle fingers are raised and parted, while the other fingers are clenched. It has various meanings, depending on the cultural context and how it is presented. It is most commonly used to represent the letter "V" as in "victory"; as a symbol of peace (usually with palm outward); as an offensive gesture (palm inward); and to represent the number 2. It was adopted by the 1960s counterculture movement as a sign for peace
 
Midevu michafu inatuharibia mahakama zetu..........wapeleke midevu yao huko misikitini.....swine flu
 

Huna haja ya kujificha ...wewe utaamini kila aliyekamatwa ambae mkristo...Kwa muislamu kwako wewe hana haki yeyote... Lakini sio nyakati hizi... Lolote baya atakalofanyiwa Seikh Farid ,ndio hilo hilo litawakuta Mapadri/Askofu/wachngaji.
 
Na wale waliofanya vurugu na kushatarisha amani nchini huko Mbagala watafikishwa lini mahakamani?
 
Tunaomba dk shein aendelee hivohivo ,maana kuna watu wanataka kutumia dini ya mwenyezi mungu vibaya, kama wamezoea uarabuni basi sio tanzania. Vinginevyo wasajili vyama vya siasa tuelewe moja na si kutumia dini ya allah!

Mnamuomba Shein azidi kuwatumikia makafir...Shughuli hii itakua ya muda mrefu, tuombe salama tu.
 
Amenyolewa ndefu bila ridhaa yake? Au kaamua kunyoa mwenyewe ili ionekane anagandamizwa na serikali?

Mkuu gerezani ukishaingia huna ridhaa yako tena, ni masharti ya mkuu wa gereza kwa kwenda mbele na ukiingia kulala ni masharti ya Nyampara siku akiamua ulale karibu yake au karibu na rafiki yake yeye ndio mwamuzi hutakiwi kupinga
 
Reactions: FJM
Hadi rufaa ya dhamana ije isikilizwe hizo tigo zao zitakuwa zimeregea ka urojo,chezea dola weye!
 
Huna haja ya kujificha ...wewe utaamini kila aliyetkwa ambae mkristo...Kwa muislamu kwako wewe hana haki yeyote... Lakini sio nyakati hizi... Lolote baya atakalofanyiwa Seikh Farid ,ndio hilo hilo litawakuta Mapadri/Askofu/wachngaji.
duu mkuu kama waislamu wote tanzania tungekuwa hivo nchi ingewaka moto zaid, punguza jazba. Subra ni muhimu sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…