MAHANJU
JF-Expert Member
- Aug 26, 2014
- 5,244
- 7,970
Kesi iliyokua ikimkabili waziri wa fedha serikali ya awamu ya tatu Basil mramba na wenza iliyoigharimu serikali hasara ya Tsh Billion 11 mpaka kufikia hukumu walifungwa jela miaka 3 kila mmoja.
Huyu mzee wa Mil 7 kwa dakika naye inadaiwa kujichumia pesa takribani Billion 10, kwa wanasheria mtusaidie hukumu ya huyu bwana itakuaje maana wale billion 11 walihukumiwa miaka 3, sasa huyu mhujumu Uchumi atanyeshewa mvua ngapi? Au makosa yake ni makubwa kuliko ya kina mramba japo yeye pesa ni ndogo kuliko hao kina Mramba?