Kesi ya kikatiba iliyofunguliwa na Mh Mbowe dhidi ya RC Makonda, kamanda Sirro na mkurugenzi wa upelelezi bwana Wambura, ambayo inatajwa leo mahakama kuu wamekataa kupokea 'summons' walizopelekewa jana.
Kwa mujibu wa askari aliyepeleka, Makonda hakuwepo ofisini lakini wasaidizi wa ofisi yake walikataa kupokea barua ya wito wakidai wameelekezwa hivyo, vivyo hivyo kwa kamanda Wambura. Kamanda Sirro yeye alikuwepo ofisini lakini alikataa kupokea wala hakusaini wito huo wa mahakama.
Kifupi wamekataa wito halali wa mahakama. Kama wamekataa sheria inasemaje, watakamatwa kwa nguvu wapelekwe kujibu mashitaka au na wao watapewa masaa 48 wajisalimishe.
Chanzo: Kutoka magazetini.