Kesi ya Incomplete chuoni natoboaje wakuu

Foffana

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2022
Posts
2,705
Reaction score
4,431
Habari za asubuhi wakuu

I hope mnaendelea vyema na Ujenzi wa Taifa letu
Kuna jambo moja naliwasilisha kwenu ili kupata mawazo yenu na ushauri wenu wakubwa zangu kuhusiana na suala hili linalonisibu.Nina imani nitapata msaada humu jukwaani

Kama ilivyo ada masuala ya chuoni kuna changamoto mbalimbali ambazo wanafunzi tunakumbana nazo na changamoto mojawapo nilokutana nayo ni suala la kuwa na incomplete katika mojawapo ya somo nililolisoma

Hii incomplete ilitokana na kutojaziwa marks kwenye test ambayo niliifanya lakini mtihani sikuwa nao mda huo kwa sababu kilipita kipindi kirefu tangu test ifanyike na marks kupandishwa kule kwenye mfumo

Kabla ya kuingia kwenye UE nilimfata Course coordinator kumuelezea hii issue akanambia nimechelewa sana na kilichobakia ni kulicarry hili somo.Nilijitahidi kumuomba niingie kwenye UE lakini msimamo wake ulikuwa ni kulicarry hili somo basi nikaona hamna namna acha nione itakuwaje baada ya UE results naona hata hyo carry hamna nakuta kuna incomplete

Suala nimefuatilia ila bado course coordinator ndo anaweka ngumu

Ushauri wenu Wakuu navukaje hiki kipengele

CHUO:UDSM
 
Andika barua kwenda kwa uongozi wa department Yako. Hakikisha unaweka uthibitisho kuwa umeonewa.Itakusaidia kama ushaidi baadae kama lecturer ataamua kukaza. Iliwahi kunitokea Mimi nikiwa 2nd year COET nilikosa UE baada ya ratiba kubadirishwa muda mfupi kabla ya mtihani. Nilifika chumba cha mtihani zimebaki dakika 10 mtihani kumalizika. Nikamwambia msimamizi sitafanya mtihani. Fasta nikawahi hospitali kuchukua uthibitisho kama nilikuwa naumwa na nikaandika barua kuomba kupewa mtihani lkn nikajibiwa kuwa nitafanya Special UE kipindi cha sup exams. Unfortunately matokeo kwenye mfumo wa matokeo ukareflect kuwa nimedisco coz of incomplete. Nilipewa pole nyingi sana na washikaji ila sikuwa na wasiwasi kwani nilifanya special UE ila taarifa zangu zilikuwa hazijawa updated kwenye mfumo. Course ilikuwa ya MT...( Maths) Kwa mliosoma COET mtanielewa na matokeo nikipata A. Here I am now ni Senior Engineer najenga nchi yangu.
 
Kama course coordinator amegoma unaweza ukaongea na head of department nakupata ushauri pia ikishindikana unaomuona Academic registrar ataweza kukushauri cha kufanya. Fanya hayo yote kwa documentation.

Pia kama sarakasi zikizidi kuwa mpole ingia darasani tena kwenye hilo somo uanze upya ujirejiste kufanya hizo quiz, continuous assessment test na mwisho UE. Incomplete course ni kichefuchefu sana.

Just relax udanganye na uambie moyo wako ALL IS WELL.
 
Ushauri mzuri huu
 
Sawa Mkuu ahsante sana na ubarikiwe nitaanza kutekeleza ushauri wako
 
Andika barua kwenda kwa uongozi wa department Yako. Hakikisha unaweka uthibitisho kuwa umeonewa.Itakusaidia kama ushaidi baadae kama lecturer ataamua kukaza. Iliwahi kunitokea Mimi nikiwa 2nd year COET nilikosa UE baada ya ratiba kubadirishwa muda mfupi kabla ya mtihani. Nilifika chumba cha mtihani zimebaki dakika 10 mtihani kumalizika. Nikamwambia msimamizi sitafanya mtihani. Fasta nikawahi hospitali kuchukua uthibitisho kama nilikuwa naumwa na nikaandika barua kuomba kupewa mtihani lkn nikajibiwa kuwa nitafanya Special UE kipindi cha sup exams. Unfortunately matokeo kwenye mfumo wa matokeo ukareflect kuwa nimedisco coz of incomplete. Nilipewa pole nyingi sana na washikaji ila sikuwa na wasiwasi kwani nilifanya special UE ila taarifa zangu zilikuwa hazijawa updated kwenye mfumo. Course ilikuwa ya MT...( Maths) Kwa mliosoma COET mtanielewa na matokeo nikipata A. Here I am now ni Senior Engineer najenga nchi yangu.
Ahsante sana Kaka nitaleta feedback
 
Nakumbuka ilibaki kidogo nidisco pale conas kwa sababu ya incomplete ya quiz ila nilipambana mpaka nikawekewa zero

Pambana kijana mfate mwalimu akujazie marks akuwekee hata zero ili mradi usidisco
Sawa Mkuu
 
Habari za asubuhi wakuu

I hope mnaendelea vyema na Ujenzi wa Taifa letu
Kuna jambo moja naliwasilisha kwenu ili kupata mawazo yenu na ushauri wenu wakubwa zangu kuhusiana na suala hili linalonisibu.Nina imani nitapata msaada humu jukwaani

Kama ilivyo ada masuala ya chuoni kuna changamoto mbalimbali ambazo wanafunzi tunakumbana nazo na changamoto mojawapo nilokutana nayo ni suala la kuwa na incomplete katika mojawapo ya somo nililolisoma

Hii incomplete ilitokana na kutojaziwa marks kwenye test ambayo niliifanya lakini mtihani sikuwa nao mda huo kwa sababu kilipita kipindi kirefu tangu test ifanyike na marks kupandishwa kule kwenye mfumo

Kabla ya kuingia kwenye UE nilimfata Course coordinator kumuelezea hii issue akanambia nimechelewa sana na kilichobakia ni kulicarry hili somo.Nilijitahidi kumuomba niingie kwenye UE lakini msimamo wake ulikuwa ni kulicarry hili somo basi nikaona hamna namna acha nione itakuwaje baada ya UE results naona hata hyo carry hamna nakuta kuna incomplete

Suala nimefuatilia ila bado course coordinator ndo anaweka ngumu

Ushauri wenu Wakuu navukaje hiki kipengele

CHUO:UDSM
Mmh sisi chuoni incomplete ilikuwa inakupeleka kwenye discontinue hata kama ni somo moja.
Angalia usije kuwa umenasa kwenye mtego.
 
Hao kama sio wazee wa CL a.k.a department of foreign languages and virtual studies,hao ndo wenye roho ngumu hivyo.
Hiyo udsm kubaluli tu kucarry hilo some hakuna kinachoweza kuchange.
Afu uwe serious na shule, ukizubaa next time unadisco.
 
Course ilikuwa ya MT...( Maths) Kwa mliosoma COET mtanielewa na matokeo nikipata A. Here I am now ni Senior Engineer najenga nchi yangu.
Wewe ndiye injinia unayer
tudanganya huku kazini na BoQ zako za uongo uongo?
 
Hao kama sio wazee wa CL a.k.a department of foreign languages and virtual studies,hao ndo wenye roho ngumu hivyo.
Hiyo udsm kubaluli tu kucarry hilo some hakuna kinachoweza kuchange.
Afu uwe serious na shule, ukizubaa next time unadisco.
Ni department of statistics Mkuu
 
Back
Top Bottom