Kesi ya huyu mrembo imefikia wapi?

Kesi ya huyu mrembo imefikia wapi?

Bado najiuliza waziri anayehusika na haya mashindano ni nani? na yeye ni boya kama lundenga ama?

>kwa sababu kama hii ishu iko ndani ya wizara yake halafu anashindwa kusema hata 'a', basi ni boya tu!
yaani kila kitu wanajifanyia tu kisha wanampa bendera yetu nzuri kwa ujinga wao.....
 
yaani kila kitu wanajifanyia tu kisha wanampa bendera yetu nzuri kwa ujinga wao.....

Rita wameamua kuingilia kati hili suala la huyu binti/bibi

hatimaye uchunguzi waanza juu ya watoto waliozaliwa katika hospitali ya temeke kuanzia mwaka 1980 mpaka 1990!

Kama kweli rita nayo ni msema kweli... Tutegemee mema kutoka kwenye huu uchunguzi..
Na wizara inayohusika nimesikia na wao wanakutana leo kuona nini kifanyike, tatizo hii issue wameichukulia simple pamoja na huyo Lundenga kuingia mkenge maana yeye kama kweli hahusiki angekaa pembeni na kukomaa kwamba wao waliletewa cheti kinachoonyesha ana umri wa miaka 21 mambo mengine aulizwe mrembo mwenyewe. Btw umri wa kwenye passport ndio unaochukuliwa kama umri sahihi especially kwenye mambo ambayo mtu amechakachua umri ili akidhi vigezo na passport ndio document inayochukulia kama reference kwenye mambo yote yanayohusu umri

Hizi kauli za wivu ni kwa watu waliozoea kuziba watu midomo
 
Tanzania tunajua kufanywa wajinga kweli kama mtu hajui kusome kwani hata picha haoni duuuuuhhhhh!!!!!!!!!
 
Ndiyo maana nchi za majirani wanatucheka kwa ujinga tulionao. Yaani tunapigwa fix mchana kweupeeeee. Huyu mama anaonekana kishakomaa toka katikati ya miguu mpaka usoni. Na hao waliompa cheti kipya cha kuzaliwa ili huyu mama ashinde inabidi wanyongwe kwani ukisikia kuuza nchi ni huku. Lundenga atakuwa alimla uroda huyu binti ama mama wa huyu binti, si bure. Vyeti vinagawiwa kama njugu huku serilaki inakaa kimya, na ndiyo maana hata wahindi wasiojuwa lugha na hawajawahi kuishi huku wana uraia wa hii nchi.
 
Nchi ya ajabu sana hii. Mzee Slaa mwenye miaka 80 bado anaishi na mchumba ambaye ni mke wa mwenyewe.
 
Nchi ya ajabu sana hii. Mzee Slaa mwenye miaka 80 bado anaishi na mchumba ambaye ni mke wa mwenyewe.

Nenda msalani,
chama chenu kimemfundisha mpaka Lundenga kuchakachua! Unaulizwa hoja ya msingi unachakachua mpaka majibu!
 
Nchi ya ajabu sana hii. Mzee Slaa mwenye miaka 80 bado anaishi na mchumba ambaye ni mke wa mwenyewe.

Aisee... Huu sasa utakuwa wivu wa kike. Wenzako wanaongelea Miss TZ hapa, Slaa anahusika vipi?
 
hivi msalani su ndio chooni au

Mkuu chooni kuna ustaarabu kidogo kwani uchafu unakuwa ndani ya shimo! Msalani uchafu unakuwa hadi usoni mwa eneo...hivyo msamehe tuu huyu!
 
Nchi ya ajabu sana hii. Mzee Slaa mwenye miaka 80 bado anaishi na mchumba ambaye ni mke wa mwenyewe.

Kweli ww ni choo.
Tunajadili magumashi ya ukweli yanayoendelea kufanyika nchini ww unaleta siasa hapa pu.mb.a.fu.
 
Nchi ya ajabu sana hii. Mzee Slaa mwenye miaka 80 bado anaishi na mchumba ambaye ni mke wa mwenyewe.

huyo mwenye mke jongoo wake hapandi mtungi kama wewe sasa mke wa nini? kwanini usiwaachie wenye uwezo wa kutafuna au unataka na wewe uolewe na babu slaa?
 
10350429_721067087963627_7724643076196655362_n.jpg




Mimi huwa nashangaa siku zote mamisi wetu wa kibongo bongo kwanini kila miaka inavyosogea wao wanazidi kuwa wadogo kiumri!

Kumbe mambo yenyewe yanakuwa hivi.

Hapo sawa, sasa nimeelewa
 
huyo mwenye mke jongoo wake hapandi mtungi kama wewe sasa mke wa nini? kwanini usiwaachie wenye uwezo wa kutafuna au unataka na wewe uolewe na babu slaa?
Mkuu huko kwenu CHADEMA wanaume wanaolewa? Unaonaje BABU akikuoa wewe ili muweze kukomboa nchi kiurahisi zaidi?
 
Back
Top Bottom